Chuo cha uhasibu t.i.a wacharuka, waiburuza mahakamani tume ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha uhasibu t.i.a wacharuka, waiburuza mahakamani tume ya uchaguzi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Tambara Bovu, Jun 22, 2011.

 1. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wanafunzi wa chuo cha Uhasibu Tanzania leo wameiburuza mahakamani tume ya uchaguzi na Spika wao huku wakimtuhumu kuvunja katiba ya serikali yao kwa kuunda tume kinyume na katiba.
  Pia wameishitaki tume hiyo kwa kuendesha taratibu za uchaguzi kinyume cha katiba yao ya (TIASO) hivyo kuamua kuwachuja wagombea bila kuwapa sababu zozote za kuondolewa kwao.
  Hatua hii imenifurahisha sana kwani inaonesha jinsi wanafunzi wasivyokubali kunyimwa haki zao.Haya yanayoendelea vyuoni ndio hayo hayo yanayotokea nchini kwetu.

  chanzo cha habari ni mimi mwenyewe kwa kuwepo eneo la tukio na kuyaona yote.wanafunzi walioipeleka tume hiyo mahakamani ni Martha Noah, Kayuni Benson, Aron Kabuka, Ibrahim Mandoa na Daniel Chanai.
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Karibu Jamvini Mama wa Kwanza tulikumiss..!!
   
 3. Tambara Bovu

  Tambara Bovu JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 19, 2007
  Messages: 586
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nipo Kimey tatizo ubize tu si unajua tena .....!
   
 4. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  safi sana walizidi ufala haki lazima ipatikane itakuwa wamewaiga magamba hao kumkata mtu then hawampi sababu.
   
Loading...