Chuo cha udom toeni vontor number wanafunzi wafanye usajiri wanafunzi wanahangaika

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,447
9,359
Tangu usajiri ufunguliwe awamu ya pili mwezi huu agosti chuo cha UDOM hamuelekweki watoto wanahangaika kuhusu usajili mmeweka namba pale wanapigiwa sm hawapokei ukimbahatisha mmoja ukimuiliza jibu lake subili dakika ishirini sasa kama hamtaki kufanya usajili tena semeni watoto wajue cha kufanya dakika ishirini siku ya nne hii

Maana tunafika nyumbani vijana hawana furaha ukiuiliza oooh UDOM hawajatoa control number mbona mnatia aibu

Mod naomba editing ni control number hapo juu
 
Nyie ndo wale mlikuwa mnaidharau UDOM sasa ndo mnaona ndo kimbilio...wacha mpate taabu ili vizazi vyenu mje muwaambie UDOM ni chuo bora kwa sasa
 
Nyie ndo wale mlikuwa mnaidharau UDOM sasa ndo mnaona ndo kimbilio...wacha mpate taabu ili vizazi vyenu mje muwaambie UDOM ni chuo bora kwa sasa
chuo bora kwa huu ujinga wanaofanya?? Chuo bora wanshindwa kuwa na watu wakurekebisha hicho kitu kidgo tuu..

kama hawataki watu waendelee kuapply si waseme moja, vyuo vipo vingi...

Udom wanaboa sana kwa hizi Habari za ajabu wanazofanyia watu
 
Kiukweli unakera yangu dirisha la awamu ya pili lifunguliwe imekuwa tatizo
 
Back
Top Bottom