Chuo cha Mzumbe acheni uchoyo

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
9,473
19,268
kichwa cha habari chajieleza.

Chuo Kikuu Mzume Faculty of Law, wameweka website, mle ndani wameweka list ya unreported cases ambazo hata hawajadigest (kama mendez anavyofanya).

Huwezi amini, wemerestrict case ambazo Mahakama inazitoa bure na hata kwenye magroup ya whatsapps tunashare bure bila malipo, wao wanataka watu wa mzumbe tu wenye password kwenye website yao ndio wadownload.

Nimejiuliza, kwani hizo caselaws zinauzwa, mnazinunua huko tanzlii na kwingine hata muwanyime wengine? Kusambaza uelewa wa sheria kwa wenzenu kwanini msiweke wazi watu wakadownload bure?

Mnapata hasara gani kama tukidownload bure kesi ambazo ninyi mmepata bure? ninyi ni chuo cha kusambaza elimu gani kama mnarestrict elimu mliyopata bure kwa watu?

Judiciary wameanza kutoa hivyo vitu bure tuwapongeze, lakini watu fulani wenye chuo chenye inferiority complex wanachukua judiciary halafu wanaminya wengine wasiaccess, si ujinga huu? mjitafakari!
 
Nazani sababu wanajua zinapatikana bure sehemh zingine.. ndio maana wameruhusu wanafunzi wao tu wawe na access kwenye website yao.

Wanafunzi wa mzumbe huwa wanalipa tution fees ambayo ndio chanzo cha mapato cha mzumbe university. Website ya chuo ina maintanance cost za service ili iwe hewani siku zote.

Tution fees ya wanafunz wa mzumbe ndio inalipia service na updates za website ya mzumbe. Ndio maana hao wanafunzi peke yao wameruhusiwa kuona hizo case kwenye hiyo website. Maana wanaihudumia website hiyo kwa ada zao. Ni sawa na unakula ulipoacha hela ya mboga

Ambao sio wanafunz wa mzumbe wakatafute kwingine ambapo case hizo zipo. Ila website ya mzumbe ni kwa ajili ya wana mzumbe
 
Nazani sababu wanajua zinapatikana bure sehemh zingine.. ndio maana wameruhusu wanafunzi wao tu wawe na access kwenye website yao...
ni upumbavu, kwani judiciary wanavyotoa caselaws bure ambazo wao wanadownload na kuzirestrict hawatumii hela? chuo cha umma halafu wanafanya mambo kama cha private?
 
Haina haja ya kulalamika,kama Kuna sehemu hayo makablasha yanapatikana Bure,si uende huko uchukue!!au huko zinatolewa hard copies tu?

Kama Hawa wamechukua hizo hard copies wakaweka kwenye tovuti yao,maana yake wameingia gharama ya kuweka hayo makablasha mtandaoni,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom