victorlukumba
Member
- Aug 22, 2019
- 6
- 1
Mwenye link la group la First Year 2019/20 atusaidie!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bachelor in human resources management (BHRMMm mwenyew nipo hapo mkuu vp unapiga koz gan?
Acha papara mzee kwenye group hakuna lamaana maana wote mnakutana msiojua hata maana ya almanac
😁😁 prospectusAcha papara mzee kwenye group hakuna lamaana maana wote mnakutana msiojua hata maana ya almanac
Mm napiga bacherol degree of population and development planning.bachelor in human resources management (BHRM
Alisikika MLEVi Mmoja akiolopoka😂😂😂😂Ili mtongozane sio
We subir muda ufike nenda MA group utayapata ukiwa kule
Nami nimesikia hivyo...sijui itakuaje sasa....🤔🤔🤔huku mipango hosteli zote zimeshajaa ,vyumba mitaani hadi sa hvi vinaelekea kuisha ,,second year wanakuja kuvimaliza kabisa mwezi huu nyie first year mnaokuja .nawaonea huruma sana ..kama una rafk ako mipango mwambie akutaftie sehemu ya kulala .maana mwezi wa 11 mwaweza lala madarsan
Cc:mahondaw😂😂 ngoja wake kukupa muongozo
project planning management unakuwa meneja miradi,evaluation officer,planning officer,project designer,na mwandishi miradiWrite your reply...jaman na swali kidogo iv iukisoma koz ya project planning,management and community development unakuwa nan
kwa bachelor ya planning and community development ,unakuwa afisa ustawi,afisa maendeleo ya jamii,meneja miradi,na afisa mipango(kama umesomea irdp)Write your reply...jaman na swali kidogo iv iukisoma koz ya project planning,management and community development unakuwa nan