Chuo cha mipango Dodoma!

huku mipango hosteli zote zimeshajaa ,vyumba mitaani hadi sa hvi vinaelekea kuisha ,,second year wanakuja kuvimaliza kabisa mwezi huu nyie first year mnaokuja .nawaonea huruma sana ..kama una rafk ako mipango mwambie akutaftie sehemu ya kulala .maana mwezi wa 11 mwaweza lala madarsan
 
Nami nimesikia hivyo...sijui itakuaje sasa....🤔🤔🤔
 
Write your reply...jaman na swali kidogo iv iukisoma koz ya project planning,management and community development unakuwa nan
 
project planning management unakuwa meneja miradi,evaluation officer,planning officer,project designer,na mwandishi miradi
 
Write your reply...jaman na swali kidogo iv iukisoma koz ya project planning,management and community development unakuwa nan
kwa bachelor ya planning and community development ,unakuwa afisa ustawi,afisa maendeleo ya jamii,meneja miradi,na afisa mipango(kama umesomea irdp)
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom