Chuo cha KIU

emoshi

Member
Apr 2, 2011
28
1
Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote anayekifahamu hiki chuo cha Kampala International (KIU) vizuri anijuze jinsi tu kilivyo kuhusu masuala ya elimu na mambo mengine Asanteni sana.

Kama umechaguliwa kujiunga nacho una wasiwasi gani mtu mzima? Chamsingi nenda kasome, na kama upo Dar es salaam na umechaguliwa KIU Tawi la DsM panda gari ziendazo Gongolamboto hadi mwisho wa gari shuka tembea kuelekea Pugu hatua kadhaa utakuta Bango lao upande wa kushoto ukitokea Gongolamboto kisha elekea kushoto utakikuta, kwani vijana tunapenda majengo mazuri na sio ubora wa elimu inayotolewa, nenda ukajionee mwenyewe usingoje kuambiwa kama mimi nilikwenda kujionea na kuongea na wahusika mwaka jana japo sikufanikiwa kujiunga kwa kukosa mkopo kama mwaka huu walivyonitosa tena, hakika nina wakati mgumu. Kila dua njema mtu mzima.

Hapo hakuna shule bora hata Udom. Pole sana kwa kupotea.

Huyo ndo SiRLIMu !bWe Yeye ana chuo chake ambacho hakuna hata kimoja hapa nchini chenye sifa za kufanana nacho, na nisehemu ya magamba yasiochubuka hata kwa moto wa gesi. Kimsingi KIU ni chuo cha kimataifa kinatambulika nje ya Mipaka hata ya Afrika usiyafuate maneno ya hovyO hovyoooo ya huyo jamaa, maneno yake yamezoeleka humu Jf zaidi aitwa Magamba Sugu!

KIU ni mfano wa vyuo vichanga sana. Hakuna shule. Believe me or not.

Ndugu zangu wana JF naombeni kwa yeyote anayekifahamu hiki chuo cha Kampala International (KIU) vizuri anijuze jinsi tu kilivyo kuhusu masuala ya elimu na mambo mengine Asanteni sana.
Siamini kama ndio unataka ku apply, maana msimu wa kufanya applications ushapita. Ila kama ndio umechaguliwa kwenda chuo hiki ambacho hukifahamu hata A basi umechemsha vibaya. Siamini kama umechaguliwa au ndugu yako kachaguliwa kwenda kwenye chuo usichokifahamu, ila naamini wajiandaa kwa ajili ya applications za mwaka 2012.

Mbona mnanitisha jamani, lakini hata hivyo fee yao usipime! na nilikuwa nataka tu kujua ubora wa elimu yake coz kuna mtu kachaguliwa hapo kusoma IT

Jaman hiki siyo chuo maana kuna rafiki yangu ninaeishi nae anasoma pale.
Jamaa hawana hata karikulam wanaendaenda tu.
Leo watapewa kozi hii kesho inatolewa, mara wanasoma na hawafanyii mtihani, yaani vululuvululu tu. Zaidi mnakumbuka mwaka huu walivyoingia kwenye mgogoro na tcu na loanboard.
Hawana mikopo wale, kama wewe ni mtoto wa maskini mwenzangu imekula kwako!
Jipange sana hapo. Madudu mengi mno. Kile ni msitu wa matatizo mkuu niamini.

nadhan kakuelewa.

kiu kimesajiliwa hapa tz kama chuo kikuu kishiriki,wanatoa distance learning.ila achana na crodo sayz nenda tcu mwenyewe miaka 3 si mchezo

Jaman hiki siyo chuo maana kuna rafiki yangu ninaeishi nae anasoma pale.

Jamaa hawana hata karikulam wanaendaenda tu.

Leo watapewa kozi hii kesho inatolewa, mara wanasoma na hawafanyii mtihani, yaani vululuvululu tu. Zaidi mnakumbuka mwaka huu walivyoingia kwenye mgogoro na tcu na loanboard.

Hawana mikopo wale, kama wewe ni mtoto wa maskini mwenzangu imekula kwako!

Jipange sana hapo. Madudu mengi mno. Kile ni msitu wa matatizo mkuu niamini.

bora umenisaidia. Nimepokea matusi kibao kwa kuwaeleza ukweli.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom