Amo90
Member
- May 20, 2020
- 26
- 75
Habari wadau wa elimu,
kuna chuo cha kilimo na technologia butiama kilianza mwaka 2014. Chuo kipo butiama na kina walimu na majengo yote muhimu kwa program za bachelor au diploma kuanza lkn chakushangaza tangu mwaka 2014 haukana mwanafunzi aliechukuliwa hapo cchuon japo kuna walimu wakutosha na wanakula mishahara ya bure tu kila mwez kuna vyuo vimeanza nyuma yake vimechukua wanafunzi zaid ya mara ttu lkn hii hamna kitu.
Je shida ni mkuu wa chuo au wakubwa hawataki kianze? Wahusika chukuen hatua kama haikipo ktk mipango basi sitisheni malipo kwa watumishi wanaokaa pale bure kabisa au wapeleken ktk vyuo vingine vya seikali vyenye uhitaji.
Naomba kuwasilisha