Chuo cha kilimanjaro institute ni kizuri kwa coarse ya IT?

dottoz

JF-Expert Member
Jan 29, 2012
1,510
868
Jaman naomben kujua kuhusu chuo hki cha kilimanjaro international institute je ni kizuri?
 
MKUU NI FRESH UKAJA UDSM PALE CoICT kuna program nzuri tu kama Telecom engineering, Computer science, computer engineering kuliko, kutafuta vyuo vilivyojificha na visivyojulikana mwenendo wake.
 
sawa mkuu ila mie nimemaliza form 4 mwaka jana,vp naweza pata form ya kujiunga?
 
MKUU NI FRESH UKAJA UDSM PALE CoICT kuna program nzuri tu kama Telecom engineering, Computer science, computer engineering kuliko, kutafuta vyuo vilivyojificha na visivyojulikana mwenendo wake.

Hii ni sawa na kuambiwa vua shati wewe unakimbilia kuvua kaptura. Jamaa kauliza juu ya KII kipo wapi na kama ni kizuri wewe unaleta CoICT wapi na wapi? Kama huna jibu nyamazaga basi siyo lazima uandike.
K
ujibu swali nimegoogle nikaibuka na hawa wako USA kwa Obama : Kilimanjaro International: President's Message

Pia kuna hawa wako Arusha: KIITEC

Hivyo tandaa ujionee mzee
 
mkuu mbona unatoa povu saana, nakuongea utumbo mwingi, mambo ya Obama yanahusiana vipi na elimu ya hicho chuo na kuna vyuo kibao USA ni bomu nyie ndio wale hamkawii kugeukia ukuta ukiona WAZUNGU.....
 
wakubwa chuo kipo arusha na mimi ni mwanafunzi hapo mwaka wa tatu and Accreditation status yake ni full. pia kiko very modern zaidi chini ya ufaransa na schnider electronics kwa wale wa automation. for more info contact me please
 
Back
Top Bottom