Chuo cha "Aviation" Air Tanzania

Status
Not open for further replies.

Zunayrah

Member
Apr 2, 2019
18
20
Habari zenu wakuu!
Naomba msaada wenu juu ya hili. Nataka kusomea Cabin Crew Training, chuo cha Anga cha Air Tanzania... Nina vigezo vyote na haswa Lugha ispokua sina kigezo kimoja tu.. sina cheti cha form 4. Je, hili linaweza kukwamisha kutimiza ndoto zangu? Au wanaweza wakanikubali na kunipa nafasi wakiona juhudi zangu? Naombeni ushauri wenu. Ahsanteni.
 
kama unataka kuolewa niPM.... huo u air hostess unategemea na kigezo cha urembo na watakavyokuelewa waajiri wako.... na zaidi huna cheti cha O level.... so kama uko interested niPM nikuweke home... kisha nikulipe mshahara zaidi ya ambao ungeenda kuhustle kuutafuta kwa kurisk maisha yako angani....
asante..
 
JF ya zamani ilikuwa ni darasa na taasisi iliyoweza kuwaelimisha na kuwasaidia members kuliko ilivyo hivi sasa. Mtu anaomba msaada halafu mwingine analeta mas' hara je tunazidi kuijenga au kuibomoa JF yetu ?
 
hiyo ni plan B nimempa boss. .... you never know hitaji la mtu... halafu ni mawazo yangu.... akipenda anachukua akipenda anaacha.. hakuna ulazima wa kuyafuata. .
 
Habari zenu wakuu!
Naomba msaada wenu juu ya hili. Nataka kusomea Cabin Crew Training, chuo cha Anga cha Air Tanzania... Nina vigezo vyote na haswa Lugha ispokua sina kigezo kimoja tu.. sina cheti cha form 4. Je, hili linaweza kukwamisha kutimiza ndoto zangu? Au wanaweza wakanikubali na kunipa nafasi wakiona juhudi zangu? Naombeni ushauri wenu. Ahsanteni.
Toa maaelezo ambayo yamekamilika dogo tukusaidie, je huna cheti cha form 4 kimepotea au hujawahi soma kabisa form four.?
 
kama unataka kuolewa niPM.... huo u air hostess unategemea na kigezo cha urembo na watakavyokuelewa waajiri wako.... na zaidi huna cheti cha O level.... so kama uko interested niPM nikuweke home... kisha nikulipe mshahara zaidi ya ambao ungeenda kuhustle kuutafuta kwa kurisk maisha yako angani....
asante..

Samahani Sihitaji kuolewa kwa sshv, na kama nikihitaji kuolewa basi sitotafuta mume hapa mtandaoni. Na kigezo cha Uzuri Mungu kanijaalia pia ndomana nikasema vigezo vyote ninavo isipokua hiko kimoja tu, ninachotaka ni msaada wenu na mawazo yenu sio kunisanif Kaka please usihukumu usiemjua, hujui Maisha yangu wala matatizo yangu, Kazi ni muhimu zaidi kwangu ndoa baadae ikifika muda aloniandikia Mungu.
 
JF ya zamani ilikuwa ni darasa na taasisi iliyoweza kuwaelimisha na kuwasaidia members kuliko ilivyo hivi sasa. Mtu anaomba msaada halafu mwingine analeta mas' hara je tunazidi kuijenga au kuibomoa JF yetu ?

Wanavunja moyo wanzao wenye shida kuulizia msaada na ushauri.
 
Samahani Sihitaji kuolewa kwa sshv, na kama nikihitaji kuolewa basi sitotafuta mume hapa mtandaoni. Na kigezo cha Uzuri Mungu kanijaalia pia ndomana nikasema vigezo vyote ninavo isipokua hiko kimoja tu, ninachotaka ni msaada wenu na mawazo yenu sio kunisanif Kaka please usihukumu usiemjua, hujui Maisha yangu wala matatizo yangu, Kazi ni muhimu zaidi kwangu ndoa baadae ikifika muda aloniandikia Mungu.

nimeelewa.... usijali.. kila la kheri..
 
Kwa NIT requirment moja wapo mpaka uwe na cheti cha form 4
 
Attachments

  • CABIN CREW COURSE ADVERT 2019.pdf
    4.5 MB · Views: 131
Brother mambo ya kuwashusha thamani na kunyanyasa wanawake yamepitwa na wakati, kama una info mpe kama huna ni busara kukausha tu
kama unataka kuolewa niPM.... huo u air hostess unategemea na kigezo cha urembo na watakavyokuelewa waajiri wako.... na zaidi huna cheti cha O level.... so kama uko interested niPM nikuweke home... kisha nikulipe mshahara zaidi ya ambao ungeenda kuhustle kuutafuta kwa kurisk maisha yako angani....
asante..
 
Habari zenu wakuu!
Naomba msaada wenu juu ya hili. Nataka kusomea Cabin Crew Training, chuo cha Anga cha Air Tanzania... Nina vigezo vyote na haswa Lugha ispokua sina kigezo kimoja tu.. sina cheti cha form 4. Je, hili linaweza kukwamisha kutimiza ndoto zangu? Au wanaweza wakanikubali na kunipa nafasi wakiona juhudi zangu? Naombeni ushauri wenu. Ahsanteni.

Ndo ushafeli hivyo kwa unachokitaka...au la risit au tafuta namna yoyote upate cheti cha form 4. hakuna mbadala wa cheti hicho kwa kazi hiyo.
 
Huo mshahara uliosema unaweza kunilipa km inawezekana naomba unisaidie ajira km una biashara yako nikufanyie kazi niipate kwa njia halali na Mungu atakulipa. Asante.

ndio ashakuita akakulipe mshahara sasa wewe ukaanza kumtolea risala tena..
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom