Chuo bora masomo ya biashara kati ya CBE au IFM?

Kuomba Kusoma IFM au CBE masomo ya biashara ngazi ya cheti wapi bora?eg CBE Dodoma au IFM dar au mikoani
Soma CBE mdogo wangu kasoma hapo tawi la mwanza saizi anafanya kazi ya kujiajili ya kilimo yupo safi Kwa kweli
 
Bora ni uelewa, kujituma na umakini wa mwanafunzi husika: hivyo Chuo Bora ni chochote kati ya hivyo na hata tofauti na hivyo
 
Back
Top Bottom