Chunusi zinasumbua sana msaada wenu wakuu

Jaribu hii

Parua mbegu ya parachichi fanya scrub

Nawa maji ya uvuguvugu
Paka serum kisha moisturizer ya chaguo lako uangalie ndani ya siku tano tu
 
Zimesumbua kwa miaka mingapi? Halafu zikoje zikikomaa zinatoa usaa kama jipu?
 
Ok asante iv Kama cna serum naweza paka nn baada ya hyo scrub? na pia loshen ya vaseline ya limao ni nzur kupaka baada ya hio scrub?

Vaseline wana lemon?

Sijui labda wajuzi waje
Ila ni nzuri kwa skin repairing
 
Nenda kwny maduka ya vipodozi nunua sabuni inaitwa pyary imetengenezwa kwa tangawizi Bei ni Kati ya 1500-2000 asubuhi chukia kitambaa kisafi paka sabuni jisugue kwa Hilo povu lake baada ya hapo nawa chukua povu lingine jipake usoni kaa nalo muda kidogo hata dk.mbili sio mbaya nawa halafu ukishamaliza kuoga usoni paka Hilo Hilo povu la hiyo sabuni usipake kitu kingine au mafuta yoyote fanya hivyo kutwa Mara tatu km utakuwa na muda ukishindwa sn hata Mara mbili utaona mabadiliko ndani ya siku chache.
 
Shukulan sana
 
Back
Top Bottom