Chungwa nikalimega nikidhani chenza....(Fumbo..Fumbua)

Mpaka mwili umezizima kwa baridi ya hudhurungi........!! So umeamka salama..uko poa..waonaje hali yako
salama salimini! namshukuru MUUMBA JUU! pole kwa yaliyokupata, ni upepo tu unavuma na utapita! lol
 
salama salimini! namshukuru MUUMBA JUU! pole kwa yaliyokupata, ni upepo tu unavuma na utapita! lol

"the problem is not me! the problem is.. you dont understading me!" - source cacico
 
Last edited by a moderator:
Chungwa nikalimega nikadhani chenza
Kumbe limeshamegwa tayari na waume wenza
Heri chungwa angeweka limao ili lifanane na chenza

Kwani ungeniambia ni chungwa unafikiri ningekuacha?
Mbona wengi wameolewa na chungwa na ndoa zinadumu?
Na wale wenye waliokuwa na chenza wamepoteza ndoa zao....

Ni kweli niliamini kwamba ni chenza
Kwa sababu wewe mwenyewe ulinieleza
Kumbe una chungwa tena dalanzi la Muheza

Ila huna haja ya kunikimbia ukiniona
kwangu mimi chenza na chungwa navyoona
Ladha ni ileile ukilitunza
 
Back
Top Bottom