Chunguza picha unipe jibu

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
ImageUploadedByJamiiForums1370569655.398949.jpg

Umeona nn?
 
photo shop ya miguu kwa mschana huyo, huo mguu wa kushoto ndo fake yake origibla ni hiyo yenye stocking nyeusi zaidi huo wa pembeni kushoto uko a bit white.
Ila kama mawazo yanawaza south stairs utaona kaschana kadogo kanataka muhogo mkubwa sjui hata utapitaje na hapo wakati hata mtoto mchanga anayezaliwa ni mdogo kuliko mguu kaazi kwelikweli kumridhisha
 
Hahaha ushaanza mibangi yako naona...wrong answer but i love your thinking!
 
Sio bangi bana sema amarula yaani nimelala nazo na nimeamka nazo hadi asubuhi hii yaani hapa niko njwiii kitandani nahisi hata kuna spelling ntakuwa nazikosea, mnisamehe tuu ni amarula hiyo.
Why wrong answer mie hapo ndo nimejiona intelligent halafu wewe unaniambia nimefeli hata sikubali, nipe marking scheme nihakikishe. Mie mbishi kama tomaso hadi nipapase makovu ndo nakubali kama kweli vinginevyoo daaaah tunaweza kukesha tukibishana hahahahah Mentor mzima lakini? karibu wine maana nikikuwekea amarula itakuwa sio heshma.
 
Last edited by a moderator:
acha kuwapa majibu wana Jf

Kwani yeye sio mwana jf?
King'asti mimi namshangaa huyu Mkuu Boflo - tatizo anataka kuwa kama Mwalimu ambae akitoa mtihani / swali ambalo wanafunzi wakilijibu haraka kwa usahihi anaona kama mtihani / swali lake limekuwa rahisi.

Yeye anataka watu wakosee sana alafu atoe jibu mwenyewe ili wanafunzi wamuone yeye Intelligent!. Haya bwana siku nyingine nikipata jibu ntauchuna kwanza mpaka watu wakosee wakosee kwanza au siyo Boflo!
 
photo shop ya miguu kwa mschana huyo, huo mguu wa kushoto ndo fake yake origibla ni hiyo yenye stocking nyeusi zaidi huo wa pembeni kushoto uko a bit white.
Ila kama mawazo yanawaza south stairs utaona kaschana kadogo kanataka muhogo mkubwa sjui hata utapitaje na hapo wakati hata mtoto mchanga anayezaliwa ni mdogo kuliko mguu kaazi kwelikweli kumridhisha
hujatizama vyema bana na hata Mentor alokupa like hajaelewa.
huyo ni binti kachutama stail ya kupiga goti moja na miguu yake ni hiyo yenye stockings, hicho unachokiona pembeni yake ni jug -bilauri kubwa la maji ambao linaragi sawa na miguu yake na ni kubwa zaid kuliko miguu yake. ngalia kwa juu utauona mdomo wa bilauri na kwa chini utaona kiako chake.
 
Last edited by a moderator:
Sio bangi bana sema amarula yaani nimelala nazo na nimeamka nazo hadi asubuhi hii yaani hapa niko njwiii kitandani nahisi hata kuna spelling ntakuwa nazikosea, mnisamehe tuu ni amarula hiyo.
Why wrong answer mie hapo ndo nimejiona intelligent halafu wewe unaniambia nimefeli hata sikubali, nipe marking scheme nihakikishe. Mie mbishi kama tomaso hadi nipapase makovu ndo nakubali kama kweli vinginevyoo daaaah tunaweza kukesha tukibishana hahahahah Mentor mzima lakini? karibu wine maana nikikuwekea amarula itakuwa sio heshma.

Asubuhi asubuhi na wine!?? mbona kuntakia kuanza kuwatongoza mabosi wangu aisee!!! ni wamama lakini hawataki kuzeeka hao...!!!!

Alafu we kweli tomaso, yani pamoja na kukuzwa picha bado huoni!!!!

Ungekunywa dompo je?
 
photo shop ya miguu kwa mschana huyo, huo mguu wa kushoto ndo fake yake origibla ni hiyo yenye stocking nyeusi zaidi huo wa pembeni kushoto uko a bit white.
Ila kama mawazo yanawaza south stairs utaona kaschana kadogo kanataka muhogo mkubwa sjui hata utapitaje na hapo wakati hata mtoto mchanga anayezaliwa ni mdogo kuliko mguu kaazi kwelikweli kumridhisha

hakuna photoshop mkuu hapo. huo wa kushoto ni mtungi mrefu, na miguu original ya dada ni wa kati na kulia.
 
Bila kusoma majibu ya watu, nilidhani ana linaniii likubwa kama mguu
 
Mkono wa kuume wa binti ameshika kitu kama mtungi mrefu, na huku amechutama kwa mtindo wa upande upande asije kuonesha papuchi yake kwa mpiga picha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom