acha kuwapa majibu wana Jf
photo shop ya miguu kwa mschana huyo, huo mguu wa kushoto ndo fake yake origibla ni hiyo yenye stocking nyeusi zaidi huo wa pembeni kushoto uko a bit white.
Ila kama mawazo yanawaza south stairs utaona kaschana kadogo kanataka muhogo mkubwa sjui hata utapitaje na hapo wakati hata mtoto mchanga anayezaliwa ni mdogo kuliko mguu kaazi kwelikweli kumridhisha
Hahaha ushaanza mibangi yako naona...wrong answer but i love your thinking!
acha kuwapa majibu wana Jf
King'asti mimi namshangaa huyu Mkuu Boflo - tatizo anataka kuwa kama Mwalimu ambae akitoa mtihani / swali ambalo wanafunzi wakilijibu haraka kwa usahihi anaona kama mtihani / swali lake limekuwa rahisi.Kwani yeye sio mwana jf?
hujatizama vyema bana na hata Mentor alokupa like hajaelewa.photo shop ya miguu kwa mschana huyo, huo mguu wa kushoto ndo fake yake origibla ni hiyo yenye stocking nyeusi zaidi huo wa pembeni kushoto uko a bit white.
Ila kama mawazo yanawaza south stairs utaona kaschana kadogo kanataka muhogo mkubwa sjui hata utapitaje na hapo wakati hata mtoto mchanga anayezaliwa ni mdogo kuliko mguu kaazi kwelikweli kumridhisha
Sio bangi bana sema amarula yaani nimelala nazo na nimeamka nazo hadi asubuhi hii yaani hapa niko njwiii kitandani nahisi hata kuna spelling ntakuwa nazikosea, mnisamehe tuu ni amarula hiyo.
Why wrong answer mie hapo ndo nimejiona intelligent halafu wewe unaniambia nimefeli hata sikubali, nipe marking scheme nihakikishe. Mie mbishi kama tomaso hadi nipapase makovu ndo nakubali kama kweli vinginevyoo daaaah tunaweza kukesha tukibishana hahahahah Mentor mzima lakini? karibu wine maana nikikuwekea amarula itakuwa sio heshma.
Binti kashika mtungi ila ukiiangalia waruwaru utadhani ana miguu mitatu