CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
nikuulize swali mkuu. Hivi ukimkuta keo analiwa denda au unamuona anatoka chumbani, say, guest na mwanaume unaweza ukasema hapo ametoka kusex au laah? maana huna uhakika kama kweli wamesex au laaah. unless uwakute wameng'ang'aniana ndo unaweza uka-prove beyond pasipo shaka. Kuna ushahidi wa mazingira au hata huo huuamini.
Huo sio ushahidi wa mazingara kisheria. Huwezi kusema for certainity kuwa mke wangu alikuwa anazini kwa kumkuta ana-kiss na mwanamume au wanatoka chumbani. Anything can happen when in the room. Mnaweza kwenda mle mwanamke ikamjia guility consiousness akaamua kugairi kuzini mkatoka!!!! Ukinishitaki kwa ugoni -having sex intercourse with your wife, clearly you will fail and I will sue you for defarmation/malicious prosecution etc etc.