Chunga sana hotel za kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chunga sana hotel za kichina

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Dec 13, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  WANATAYARISHA PANYA KUONEKANA KAMA NI KUKU KABISA, HATA KUKATAKATA, WANAKATA MFANO WA KUKU,

  KUCHOMA, KUTOA NYWELE

  [​IMG]

  WANAOSHWA VIZURI


  [​IMG]

  WANAKATWA MFANO WA VIPANDE VYA KUKU


  [​IMG]

  WANATIWA MADAWA VIZURI SANA


  [​IMG]

  WANAKANGWA VIZURI KABISA

  [​IMG]

  TAYARI KWA KULA ( KAMA KUKU KABISA)

  [​IMG]
   
 2. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  umeniharibia sunday yangu, mkuu! Aaaargh!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Dec 13, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama inapita shingoni wacha wale bana!
  Kwanza Mwinyi alisema "Kula Panya Ruksa!
   
 4. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Rekebisha kidogo hiyo Red Ni Kooni
   
 5. w

  wakumbuli Senior Member

  #5
  Dec 14, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hiyo rangi yake inaonyesha ni tamu mno,kwani mkuu kuna madhara mwilini endapo utakula au sababu wewe unawaona sana getho,fanya usafi wa getho uwapoteze,tawatamani
   
 6. K

  Kijamani Senior Member

  #6
  Dec 14, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Panya watamu nyie!Mbona huku majuu panya tunakula tu?Wabongo wenzangu mnaona kinyaa.
   
 7. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hahah mbona kwetu tunakula panya hatufi? Wanaotoka mtwara mnanisupport kwa hili labda mniruke.
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Panya wamegeuka kuwa kuku,
  chuki za wadhungu kwa wachina
   
 9. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #9
  Dec 14, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wachina cjui ni wa2 wa aina gani khaaa
   
Loading...