Chumvi ikiuzwa bei sawa na sukari! itakuwa vp?

Haiwezekani coz production cost ya Chumvi ni tofauti na Sukari... .
 
hili swali linafanana na swali je mfuko kilo 25 wa sukari na wa kilo25 wa chumvi upi mzito.
Madenge aliulizwa na mwalimu wa hesabu.
Akajibu sukari
Mwalimu akauliza kwanini
Madenge akajibu kwa vile tamu
 
Swali la kipimbi....
Itakuwa haina adhari kubwa za kiuchumi matumizi ya chumvi kwenye chakula ni madogo ya sukari ni makubwa
Kijiko kimoja cha chumvi kinakoleza chakula sufuria kubwa nzima ila sukari utaweka hata vijiko kumi
 
Mitaala ibadilishwe uchumi uanze kufundishwa shule ya msingi
 
Back
Top Bottom