wadau kuna nyumba inapangishwa tandale yemen kituon hapo hapo nimelipia kodi miezi 8 lakin nimehamishwa kikazi so nataka mtu arejeshe kodi yangu tu....na unasaini mkataba mwenyewe mwezi january.....tarehe 1.....nyumba ipo kitiuon kabisa ina geti na ulinzi wa kutosha kwa usalama wa mali zako......choo kipo nje lakin ni cha mpangaji mmoja ;;;na luku ni ya mpangaji hatoshare na mwenye nyumba,,,maji yapo karibu tu na nyumba.....kwa anaehitaji piga 0658904648