Chumba kama hiki kinahitaji shilingi ngapi kukamilika?

Hio ni 2-bedroom house. Basic finishing utatumia kama 20m. Ukiweka mbwembwe standard fulani hutaamini hela utakayotumia.
Duuh ok ok

But ulisema hakuna utofauti kati ya 2 bedroom na 3...so panakuwa hamna utofauti kiviile kwenye hiyo 20m eti?
 
Yah watu wanamna hii dawa yao unalala sebuleni mpka uchoke
Ila kupanga chumba kimoja kisicho kuwa na umeme hamtakuja. Ishara ya umasikini kifikra na mawazo, nenda kajenge yako ujaze mijitu ndani uone raha ya ujenzi.
 
Ila kupanga chumba kimoja kisicho kuwa na umeme hamtakuja. Ishara ya umasikini kifikra na mawazo, nenda kajenge yako ujaze mijitu ndani uone raha ya ujenzi.
Punguza jazba usichukulie kila kitu serious utajiumiza
 
Back
Top Bottom