Chumba kama hiki kinahitaji shilingi ngapi kukamilika?

Banjuka

JF-Expert Member
May 7, 2021
1,007
1,891
Habari za leo wakuu.
Hivi wakuu Chumba kama kinachoonekana kwenye picha kinahitaji shilingi ngapi kukamilika.kiwanja kipo.

Karibuni kwa michango yenu
2-bhk-apartment-interior-design.jpg

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nyumba ni kama 15 mpk 20M ila kama una 10M ianze tu utapiga mpk paa inabaki finishing tu. Angalau utakuwa na kitu kinaonekana

Pia ushauri kwa wajenzi wapya just anza tu usiwaze sana gharama maana nyumba kama hiyo ukiwa na say 12M unaweza kuhamia ukawa unamalizia ukiwa ndani kidogo kidogo. Wakongwe wanasema nyumba haiishi kila siku unajenga jenga tu mpk unaingia kaburini
 
Asante kwa kunitia moyo
 
Back
Top Bottom