Chumba hiki nimekipenda

kingfish

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
571
157
Napenda kuwa bedroom kama hii lakini kipato changu cha kima cha chini.naomba mwongozo.
 

Attachments

  • bedroom.jpeg
    bedroom.jpeg
    60.5 KB · Views: 356
Aisee utakuwa mwanafunzi tu!na Rafu ndani ya chumba cha kulala!
 
mwongozo nikwamba usitamani usichokua na uwezo nacho mpaka pale hali itakaporuhusu
 
ingia houzz.com zipo varieties bomba na bora zaidi,it doesnt cost a dime to dream,waza na penda upendacho,hata kama huna uwezo nacho itakupa motisha siku moja uje uwe nacho,tuache kukatishana tamaa bwanaaa
 
Ukiamua utaweza kukipata, hakikisha tu huukalii uchumi wako
 
Napenda kuwa bedroom kama hii lakini kipato changu cha kima cha chini.naomba mwongozo.

hii inawezekana kabisa

You should have three necessary elements
1.Desire
2.Belief
3.Acceptance

Then:

-Then set your Goals
-Create a clear picture/ idea of what you what
-Give a positive energy

Finally:

Focus on it

NEED SOME MORE??
 
Kuwa fisadi tu hiyo ndio shortcut ya kupata vitu vizuri, vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
Tambaa isizidi uwezo!!! Hakuna cha muuongozo angalia sana!! Kula kulingana na urefu wa kamba yako...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom