Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,390
- 21,040
Kweli mambo ni mazito.
Hahaha, Watanzania sijui nanikaturoga, utamfataje Yesu na Muhammad???Waganga wanatudanganya sana wajinga ndio waliwao.Kuna kemikali inaitwa potassium permanganate ina rangi ya zambarau.Mganga anachukua chumvi yake anachanganya na pumba anampa kuku uliyemleta wewe.Anasoma madunguri yake kisha anakuambia mchinje kuku mwenyewe.Ukimpasua utumbo wote na firigisi ndani unakuta rangi ya zambarau anakuambia hii rangi ni uchawi ulitumiwa wewe kisha unampa mbuzi anakula yule kuku na mbuzi uliyempelekea.
Sijawahi ona mganga akimuambia mteja niletee mchicha.Uchawi ni sayansi kiasi flani.
Tumfuate YESU na MUHAMMAD hutasikia haya.Ila angalizo hata huko kwenye wokovu nako muende kwa uangalifu kuna manabii wa uongo wapiga dili siku hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaah kuna sehem hapo nimepishana na pila limewajaza vijana nikahisi tuu hili limetokea kijiwe Nongwa.Sasa buroo bange so unatafuta kesi tu kwa Afande muroto?
Acha utoto. Hata uchawii huujuiUna Kibali cha kuleta mada za kishirikina kutoka chama cha wachawi ambacho mshana jr ni katibu wake
Wewe unaoujua umefaidika na nini zaidi ya kupindishwa domo na wachawi wenzako
Akil yako inakujuza kuwa kila anayejua sheria ni wakili. Wengine ni mahakimu, wazee wa baraza, wanausalama n. KWewe unaoujua umefaidika na nini zaidi ya kupindishwa domo na wachawi wenzako
Vipo rejea miujiza ya wachawi waliyomfanyia Mussa wakati anarudisha watu wake MisriKwan hiv vitu kweli vipo!?
Hivi kwani hayafanyi kazi bank?...
Nataka nimtumie gavana makonk anichotee mzigo wote pale hazina!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Daaaaah!ninachomshukuru muumba ni kwamba mpaka leo siamini Kama kuna uchawi...🚶🏿🚶🏿🚶🏿
na hayatonikuta kamwe 🚶🏿🚶🏿🚶🏿shukuru hayajakukuta
Ukweli ni kwamba hakuna zaidi ya Yesu Kristo. Yeye ndiye muumba wa kila kitu na vyote vipo chini ya miguu yake.
Sio kweli yesu hajaumba chochote usidanganye watuUkweli ni kwamba hakuna zaidi ya Yesu Kristo. Yeye ndiye muumba wa kila kitu na vyote vipo chini ya miguu yake.
Umesema vema kabisa. Hizi codes zipo za kutosha, kuna viumbe havionekani, lakini kila uchao utakuta unalala navyo ndani vikiwa vinatafuta cover ya kupumzika usiku.tukatae tukubali uchawi upo, na kuna watu wanateswa mno kwa ajili ya uchawi, so kusema kwamba uchawi haupo haufanyi uchawi ukapotea, cha msingi ni imani kwa Mungu basi, shetani na mazagazaga yake yoooote anaogopa sana mtu mwenye Imani kwa Mungu, muombaji na mtendaji mema huyo shetani anamuogopa sana. So tuombe bila kuchoka, asubuhi kabla hujatoka hakikisha umeomba, usiku kabla ya kulala hakikisha umeomba hata unapomaliza shuguli zako za kutwa nzima ukiwa unajiandaa kurudi nyumbani jitahidi kujikabidhi kwa Mungu hata dakika moja tu, ndo silaha pekee, mana kuna vitu tunapishana navyo kila siku ambavyo ni vya ulimwengu wa roho hatuvioni kwa macho ya nyama ila ni vya kuogofya na kutisha mno
Hakikisha unamjua Yesu Kristo na kumwamini haswa vinginevyo ni upotevu. Hata “Wakristo ” wengi hawamjui ila wanafuata mazoea tu.Duh!
Tofauti na Jesus kuna dawa nyingine?
Maana wengine hawamjui Jesus!
Asante kwa maarifa....
Sent using Jamii Forums mobile app