Chuma Ulete: Vituko vya sayansi ya giza

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,143
2,000
H
Waganga wanatudanganya sana wajinga ndio waliwao.Kuna kemikali inaitwa potassium permanganate ina rangi ya zambarau.Mganga anachukua chumvi yake anachanganya na pumba anampa kuku uliyemleta wewe.Anasoma madunguri yake kisha anakuambia mchinje kuku mwenyewe.Ukimpasua utumbo wote na firigisi ndani unakuta rangi ya zambarau anakuambia hii rangi ni uchawi ulitumiwa wewe kisha unampa mbuzi anakula yule kuku na mbuzi uliyempelekea.
Sijawahi ona mganga akimuambia mteja niletee mchicha.Uchawi ni sayansi kiasi flani.
Tumfuate YESU na MUHAMMAD hutasikia haya.Ila angalizo hata huko kwenye wokovu nako muende kwa uangalifu kuna manabii wa uongo wapiga dili siku hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, Watanzania sijui nanikaturoga, utamfataje Yesu na Muhammad???

Uislamu unaamini kuwa kumfananisha Mungu na chochote kile alichokiumba ni haramu ni dhambi..

Sasa wako wale wanasema Yesu ni Mungu,.. ambao wanakwenda kinyume na mafundisho ya Muhammad, utawawekaje pamoja?
 
DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
14,533
2,000
Hivi kwani hayafanyi kazi bank?...
Nataka nimtumie gavana makonk anichotee mzigo wote pale hazina!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
tapatalk_1576237580605.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mrsleo

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
2,541
2,000
tukatae tukubali uchawi upo, na kuna watu wanateswa mno kwa ajili ya uchawi, so kusema kwamba uchawi haupo haufanyi uchawi ukapotea, cha msingi ni imani kwa Mungu basi, shetani na mazagazaga yake yoooote anaogopa sana mtu mwenye Imani kwa Mungu, muombaji na mtendaji mema huyo shetani anamuogopa sana. So tuombe bila kuchoka, asubuhi kabla hujatoka hakikisha umeomba, usiku kabla ya kulala hakikisha umeomba hata unapomaliza shuguli zako za kutwa nzima ukiwa unajiandaa kurudi nyumbani jitahidi kujikabidhi kwa Mungu hata dakika moja tu, ndo silaha pekee, mana kuna vitu tunapishana navyo kila siku ambavyo ni vya ulimwengu wa roho hatuvioni kwa macho ya nyama ila ni vya kuogofya na kutisha mno
 
Ibrahim. H

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
313
225
Mmmmmh!!! Itakuwaje ye ndo kila kitu na wakati. Tunaambiwa yesu alizaliwa ?? Na kuna vitu. Before hajazaliwa virikuwepo na alivikuta ? Na yesu ni Mungu au ni mjumbe wa Mungu ???
Ukweli ni kwamba hakuna zaidi ya Yesu Kristo. Yeye ndiye muumba wa kila kitu na vyote vipo chini ya miguu yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,825
2,000
tukatae tukubali uchawi upo, na kuna watu wanateswa mno kwa ajili ya uchawi, so kusema kwamba uchawi haupo haufanyi uchawi ukapotea, cha msingi ni imani kwa Mungu basi, shetani na mazagazaga yake yoooote anaogopa sana mtu mwenye Imani kwa Mungu, muombaji na mtendaji mema huyo shetani anamuogopa sana. So tuombe bila kuchoka, asubuhi kabla hujatoka hakikisha umeomba, usiku kabla ya kulala hakikisha umeomba hata unapomaliza shuguli zako za kutwa nzima ukiwa unajiandaa kurudi nyumbani jitahidi kujikabidhi kwa Mungu hata dakika moja tu, ndo silaha pekee, mana kuna vitu tunapishana navyo kila siku ambavyo ni vya ulimwengu wa roho hatuvioni kwa macho ya nyama ila ni vya kuogofya na kutisha mno
Umesema vema kabisa. Hizi codes zipo za kutosha, kuna viumbe havionekani, lakini kila uchao utakuta unalala navyo ndani vikiwa vinatafuta cover ya kupumzika usiku.

The funny thing ni kuwa, ukiwa umefunga vuzuri makazi yako ndio wanazama, wakikuta milango ipo wazi. Hawaingiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom