Chuma Ulete!!! Hii kweli ipo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuma Ulete!!! Hii kweli ipo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Feb 5, 2012.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,178
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Siku hizi inashangaza sana huku kwetu uswazi...
  Unakuta hela zilizo nyingi zimechanwa pembeni kidogo hasa kwenye pembe za noti......ukiwauliza kwa nn wanachana kdogo wanasema eti ni kudhibiti hela zao zisichukuliwe na chuma ulete.
  Inasemekana kuwa chuma ulete ni watu wanaotumia njia za hali ya juu zaidi za kimazingara kuchukua hela maeneo mbalimbali. Akikupa hela yake ukachanganya na za kwako basi hela zako zitapotea ktk mazingira yasiyoeleweka....
  Wenine wanasema kuna watu huwa hawana kazi yoyote lkn wanaishi tu huku mjini. Inasemekana baadhi yao hutumia chuma ulete...
  Ukifungua genge uswazi mara utasikia watu wenyeji wa hapo hasa wafanyabiashara wenzako wakisema...''Jiangalie sana yule mzee ni chuma ulete''......
  Haya maneno kuna wengine wanayaamini?
   
Loading...