chuma kinakula chuma


tofyo

tofyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Messages
2,649
Likes
300
Points
180
tofyo

tofyo

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2013
2,649 300 180
mabadiliko mabaya ya hali yanapotokea madhara fulani hujitokeza.kwa mfano;
1.njaa inapokuwa kali
kule kwetu kusini si ajabu kusikia bint kondo kala mtoto.
2. vilevile hata mitambo na mashine inapokosa grease utasikia chuma kinakula chuma.

kwa kuwa hali iliopo ni chuma kinakula chuma tunatarajia cheche zinaweza kujitokeza mwenye masikio na asikie.
anaekaribia kufilisika huwa akubali kushauriwa. maneno yake ni yaleyale "niacheni mwenyewe"
 

Forum statistics

Threads 1,251,958
Members 481,948
Posts 29,791,579