SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,756
Nimemsikia Mzee Juma Magoma wa Yanga anahojiwa na Kitenge,msukule hautakiwi na wenye Yanga yao,ni suala la muda tu watamnywa supu huyu nyamambichi.Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana.
Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena.
Baada ya kuona hatakiwi huku wengine Wakimsusa na hana kwa Kwenda sasa analazimisha Kukubalika na Oya Oya wengi.
Tayari Watu wa Matawi na baadhi ya Waandamizi wameonya asihusishwe katika Siri za Tukio la Jumamosi.
Baada ya Viongozi kuombwa waachane nae na Kukaidi sasa kuna Usaliti utafanywa ili Waumie Jumamosi wamtimue.
Na kinachofanya Jamaa awanyenyekee na ajipendekeze Kwao ni kwamba Ajira ya Mbagala aliyoiota ameshatoswa.
Kwa hivi sasa lawama zote za Kufanya vibaya anapewa MSG kwa Kuleta Nuksi kubwa iliyo na Laana ambayo inawamaliza.
Huenda Jumamosi Ajira ya Mtu ikafikia Kikomo huku akiwa Kaumuka kwa Kipigo kutoka kwa Watu ambao hawakumtaka.
Namalizia kuwa Kimeshanuka Baharini!!