N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,532
Ujumbe kwa serikali
Wakasome Technologies na Tiba kisha warudishwe hapa Tanzania watupwe kwenye manufacturing industry na tiba haki ya nani tutapiga hatua haraka sana.
Tufanye hivyo kwa miaka mitatu mfululizo tutapata wataalamu wabobezi hasa hawa wanaofanya vizuri sana darasani...tutatisha sana ukanda huu. Rwanda wana kautaratibu hako.
Kuna wakati tulifanya hivyo japo idadi ni ndogo...tulipeleka watu wetu Urusi enzi za USSR wakati wa mwalimu JKN walirudi na maarifa sana japo sidhani kama tuliwatumia vilivyo.
Japan waliwahi kufanya hivyo walibeba vijana wakawatupa Uholanzi wakarudi kisha wakapewa wajibu wa uvumbuzi....China pia ilifanya hivyo sana huko nyuma....hawa wote wamepiga hatua sana.....Singapore pia Korea Kusini walifanya hivi.
Tukubali kwamba wenzetu wana cha zaidi kwenye technology.....hawa vijana tutakaowapeleka tuhakikishe wakirudi wote wanaingia sokoni mwa ajira kisha kuleta manufaa na wao wataambukiza ujuzi...kwa wengine.
Tunaweza hata kwenda mwezini kama tutawekeza kwa elimu ya applied sciences hasa tukienda Kuiba ujuzi nje kwa wenzetu.
Vijana ni rasilimali tuwatumie positively.
Sent using Jamii Forums mobile app