Chukua tahadhari. ushoga unaanza hivi

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
Huku kwetu kuna jamaa mmoja alikuwa na pesa nyingi sana. na wanasema hizo pesa zilikuwa ni za kishirikina na masharti ya hizo pesa aliyopewa na mganga wake.
Ilitakuwa ni kuwatikua mashoga.
Lakini kuna siku alikosea masharti na mganga wake akamuambia wewe saizi inabidi ndio uwe shoga.
Na kweli yule Jamaa saizi ukimuangalia anatabia za kishoga shoga na alipo ona kila MTU anamnyoshea kidole yeye akaamua auze Mali zote na ahamie mkoa mwingine.

Ila mm kwasababu siumanini ushirikina ila mm ninaamini yule Jamaa kwa tabia zake za kupenda kuwatikua mashoga na ndio maana na yeye Leo amekuwa shoga na ninaamini ushoga ni kama ugonjwa flani ambao unaambukizwa kwa haraka kwa kupenda Kuwatikua mashoga.


Tahadhari

Kama wewe unawependa kuwatikua mashoga kuna uwezekano 800% au 900% ukaja kuwa shoga. na ukiona MTU anawatetea mashoga kuna uwezekano 600% au 700% akawa ni shoga au anamalengo ya kuwa shoga.

Na ninawashukuru wale wote wanaopingana na ushoga kwasababu bila kuwa na juhudi za lazima za kupambana na ushoga tunaweza kuja kushitukia wanaume wote Tanzania ni mashoga na watanzania wanavyo penda vya kuiga sipati picha.
 
mashoga ni anayetikua na anayetikuliwa

wengine ni wale wanaoyashadadia mambo ya kutikuana
 
naje Kwa wale wanaowafokoa madem nao wapo kwenye hatal yakuambukizwa ushoga?

Eti mtafiti naomba jibu apo.
 
Huo msamiati wa kutikua nimecheka sana hahaha
Halafu kwa maoni yangu, ushoga hautaisha wala kupungua kwa kuwasema vibaya ila wanatakiwa wasaidiwe kama wagonjwa uwengine. Huwezi kukomesha magonjwa kama kusukari ama presha kwa kuwasema vibaya
 
inahusiana vipi hapo?

this is the worst joke i never encountered before.

inawezekanaje hiyo, i mean how would everyone become gay just like like.... by hallucinations.

:D :D
 
Back
Top Bottom