Chukua tahadhari: Roketi ya Kichina yapoteza muelekeo na mawasiliano angani. Muda wowote kuanguka Duniani

Uwezekano mkubwa itaanguka Jumamosi hii na 70% itaangukia baharini na hiyo 30% itaangukia ardhini.

Siku ya Alhamisi iliyopita China imetuma rocket kubwa kuliko zote angani lakini pasina kujulikana sababu imetoka katika control yao na mpaka sasa haijulikani iko wapi?

Ina uzito wa tani 21 na urefu wa futi 100 na upana wa futi 16.

Ripoti za wataalamu wa anga zinasema roket hiyo itafika kwenye ardhi ya Dunia muda wowote katika wiki hii au siku chache zijazo.

Mpaka hivi sasa haijulikani itaangukia wapi kwakuwa haionekani na hamna mawasiliano ya kuiongoza iangukie baharini.

Inakimbia kwa kasi ya kilometer 28000 kwa lisaa na ina uwezo wa kuzunguka dunia yote kila baada ya dakika 90 na kwa mujibu wa ripoti ya Dk Mohammad Said mtaalamu wa maswala ya anga ni:

Kuwa rocket hiyo imefanikiwa kuivuka Misr kwa salama masaa mawili yaliyopita ndani ya dakika 8 na sekunde 40 ikiwa katika urefu wa kilometer 269.

Mwenyezi Mungu atuhifadhi na shari ya waja wake.

Picha hazihusiani na tukio

View attachment 1773999View attachment 1774000
 
sehemu yoyote ukiona mchina ione sehemu hiyo ni ya balaa!! mfano ukiona mchina au wachina wamepanga jumba kubwa na imepigwa fensi jua humo ndani kuna balaa, vile vijamaa naishindwa niviweke kundi gani, janja janja sana
 
Hawa wachina hawawezi kupiga sehemu nyeti za U.S kwa kisingizio wamelost controll ya hicho chombo
 
FB_IMG_1620247032784.jpg
 
Back
Top Bottom