Chukua hii kwa faida yako, tumia jivu kupambana na utitiri wa kuku

Muhabeshi

Member
Jul 3, 2021
15
72
Kama wew ni mfugaji wa kuku na unahangaika wadudu waitwao utitiri, basi suluhu ya jambo hili jepesi isiyokuwa na gharama.

Ni jivu la moto iwe la mkaa au kuni.

Namna ya kutumia waweza kulimwaga chumba ama banda lote pale unapomaliza unapofagia kila siku mpaka hali itakata yenyewe.
 
Back
Top Bottom