Chukua hii itakusaidia na kujuongezea siku zako za kuishi!!

Kumbe unamjua Mungu eeh!
Namjua pazi, namjua spiderman, namjua harrypotter, namjua panya mabaka aliyemvisha paka kengele, namjua thor, namjua unicorn, namjua yesu, namjua allah, namjua yahwe, namjua Mungu

Sio siri nawajua finction characters wengi sana
 
Namjua pazi, namjua spiderman, namjua harrypotter, namjua paka mabaka aliyemvisha paka kengele, namjua thor, namjua unicorn, namjua yesu, namjua allah, namjua yahwe, namjua Mungu

Sio siri nawajua finction characters wengi sana
Oh kumbe!
 
Mfano mtu anakufanyia fitna sehem yako ya kujipatia ridhiki mara akuendee kwa waganga mara akutengenezee matukio ili unase kwenye mkono wa sheria mara akutejengee chuki kwenye jamii inayokuzunguka na mambo mengine mengi machafu ya kishenzi. Je, huyo mtu inapaswa ufanyeje? Umsamehe tu, umpuuze, upambane nae, ama umkimbie?
Tumeamliwa kusamehe ili tubarikiwe mkuu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom