Chuki yangu Kwa Lionel Messi na Ronaldinho ilifanya nishindwe kutazama soka safi kutoka Kwa FC Barcelona

Mtu na nusu

JF-Expert Member
Jan 9, 2020
636
1,115
Unazi wa kupindukia Kwa real Madrid na Manchester united ulifanya nishindwe kutazama mechi nyingi za fc Barcelona

Huwa najilaumu Kwa kujikosesha nafasi ya kuangalia soka safi na linalovutia hasa kutoka Kwa hao mafundi wawili enzi hizo wakiwa moto.
 
Fact, gaucho hakua na chochote cha kuwazidi hao wote.
mi huwa naonaga dinho alikua overrated sana.. thou alikua mchezaji mzuri.

huwa naamini zizou alikua bora kuliko rinaldinho..

japokua nampenda dinho kuliko zizou
 
Unazi wa kupindukia Kwa real Madrid na Manchester united ulifanya nishindwe kutazama mechi nyingi za fc Barcelona

Huwa najilaumu Kwa kujikosesha nafasi ya kuangalia soka safi na linalovutia hasa kutoka Kwa hao mafundi wawili enzi hizo wakiwa moto.
Majuto ni mjukuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom