Chuki ya Yericko Nyerere dhidi ya Zitto Kabwe ni chuki yake binafsi na sio ya CHADEMA

Mdogo wangu nondo wewe bado mtoto mdogo kwenye hii tasnia acha jazba za unyumbani ukigoma. Tulia jifunze bado una'analysis za kitoto na mihemko ya kinyumbani kwamba huyu wanyumbani relax bwanamdogo. Baadaye utakuwa MTU mzima mwenye tafakuri jadifu na yanikinifu
Mwambie amuige kakayake Said Msonga. Mchambuzi makini na si mkabila
 
Dogo kuwin mind za watu kwenye akili inahitaji umakini mkubwa, tulia soma game vizuri, majority ya members wa jf ni watu kwenye upeo mkubwa wa kuchambua mambo, hatupelekeshwi na hisia,
Nakuonya Mara ya mwisho kuwa makini au utapoteza
Umenivunja mbavu mkuu, hapo kumuonya bwana mdogo kwa mara ya mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom