Chuki ya Yericko Nyerere dhidi ya Zitto Kabwe ni chuki yake binafsi na sio ya CHADEMA

Wewe abdul nondo na huyo yericko nyerere wote ni watoto wa kupuuzwa tu. Kila siku tunawaambia mnafanya siasa za kizamani, siasa za uanaharakati. Siku hizi watu wanataka siasa za maendeleo. Siku hizi hakuna ufisadi, rushwa imepungua, ubadhirifu wa mali za umma unazidi kudhibitiwa, safari za kupiga hela hakuna tena, huduma za afya zinaboreshwa. Siasa za harakati hazina nafasi zama hizi. Pengine mlichelewa kuingia kwenye siasa ndio maana bado mnatumia mbinu za zamani za watangulizi wenu.
 
Tatizo kuu la watu wa kigoma ni unafiki
Upande mmoja upo chadema upande mmoja upo ACT kwa mrundi mwenzio
Chadema haimpendi.na haimtaki kabisa,yapo matamko ya Tundu Lissu mkurugenzi wa sheria ws chama,yapo matamko ya Lema mjumbe wa kamati kuu yote yakimshambulia Zitto kwamba ni msaliti na mnafiki,si mbowe wala chadema waliokanusha.Hii inaonesha chadema wamebariki matamko yale.
Alichosema Yerico Nyerere ni sawa kabisa,nawe kachukue nafasi yako kwenye chama chenu cha warundi
Mkuu tangu lini Abdul na Zitto wamekuwa warundi?Jenga hoja acha jazba na dhihaka
 
CHADEMA WATAKUWA WAPUMBAVU SANA KUMKARIBISHA ZITTO. TENA WAPUMBAVU SANA NMERUDIA. NA TINDU LISSU AKIJIUNGA NA ACT NDO MWISHO WAKE KISIASA. ZITTO HAFAI NA HATOFAA ASILANI. ABAKI NA UBUNGE NA UONGOZI WA CHAMA.

Nimekuwa nikifuatilia maandiko ya Yericko Nyerere tangu 2013 dhidi ya Zitto Kabwe hadi leo.Nina diriki kusema kwamba Yericko Nyerere amehifadhi chuki binafsi nzito dhidi ya Zitto Kabwe hadi sasa .Chuki hizo husababishwa na mgogoro wa kinafsi (personal conflict) ndani ya Yericko kuona Zitto Kabwe aliyekuwa akimtusi na kumshambulia tangu zamani akiendelea kuwa mwanasiasa imara na wakuaminiwa na wana demokrasia,vijana , watanzania na vyama vingine vya upinzani .

Jambo hilo limekuwa likimfanya Yericko kuendeleza mapambano yake binafsi, kwa kuhusisha taasisi ya Chadema , wanachama dhidi ya Zitto Kabwe na ACT wazalendo.

Bahati mbaya sana,chuki zake binafsi amezihusisha na Chadema na wanachama wake baadhi wanaomuamini sio wanaomjua ,wanaomjua wanampuuza kila siku ila wasiomjua wanamuamini.Mimi nataka umjue Yericko Nyerere leo kuwa chuki zake dhidi ya Zitto Kabwe ni chuki binafsi na za muda mrefu .Sema haamini kuwa Zitto Kabwe hakuanguka alipitarajia Zitto aanguke.

Labda anajiaribu leo kwa kupata endorsement kutoka kwa wafitinishaji wengine kupitia yeye ,kujiaribu kama atamuangusha.

*2013* hadi leo Yericko Nyerere amekuwa na chuki binafsi dhidi ya Zitto Kabwe.Na amekuwa akimshambulia Zitto mitandaoni na Jamii Forum waziwazi kwa muda mrefu sana.

Tarehe 5/Januari/2014 katika blog ya Yericko Nyerere mwenyewe aliandika andiko shambulizi dhidi ya Zitto

Kichwa cha habari.
" *Uongozi wa Siasa Tanzania umekosa maadili ya uongozi wa Taifa kuzaa akina Zitto* " . Akimshambulia Zitto ,ila Zitto alimpuuza.

Tarehe 15 ,Novemba 2015 , Yericko Nyerere aliandika Jamii Forum kuwa tar 13/11/2013 saa tano usiku ,alipigiwa simu namba +4915739568962 ,kuwa akitishiwa .akaenda polisi kufungua RB 9833/2013 .Anadai polisi walivyomuliza ahisi aliyemtishia ,yeye akataja Zitto Kabwe.

Ila baadaye kwa taarifa iligundulika kuwa ni Yericko Nyerere mwenyewe alitengeneza mtu ili kutishiwa kwa kupigiwa simu kwa code ya ujerumani mtandao wa E-plus ,ili aseme ni Zitto Kabwe .Sababu eti siku kadhaa Zitto alikuwa ujerumani .Ila Zitto alimpuuza Yericko Nyerere.

Yericko huyu huyu ,alitamani Zitto asahaulike kabisa ,asitajwe asiandikwi popote kwa chuki zake binafsi.Tarehe 18,Januari 2014 Yericko Nyerere huyu huyu aliandika mitandaoni akishambulia magazeti ambayo yaliandika juu ya Zitto kabwe kulazwa Nigeria ,Yericko akaja akaandika kuwa habari hizo ni za uongo zimepikwa na Zitto mwenyewe aache kurubuni watanzania kupitia vyombo vya habari. Aliandika kana kwamba yeye ni mlinzi au PS wa Zitto Kabwe .

Unaweza kuona namna ambavyo ,Yericko Nyerere alibeba chuki dhidi ya Zitto kabwe.Ila Zitto Kabwe aliendelea kimpuuza Kijana.

2013 ,Yericko huyu huyu alianza kampeni kusema ACT ni tawi la CCM ,Juzi tuu hapa katika kundi moja la whaatsp kataja kuwa CUF sio chama pinzani tena ni Tawi la CCM ,bali wapinzani ni CHADEMA ,ACT ,NCCR na vingine isipokuwa CUF.

Yericko Nyerere,huyu huyu tarehe 15/Machi/2019 .Alianza kampeni yake rasmi kumshambulia Maalim Seif kuhamia ACT , akamshambulia Zitto Kabwe na akakishambulia chama kuwa ni chama kidogo ,hakina madhara kwa CCM na kinatumika kuua CHADEMA.

Nilimjibu Yericko Nyerere kuwa kama ACT inatumika kuuwa CHADEMA ,aje atuambie ni namna gani CUF ilitumika kuuwa NCCR , atuambie namna CHADEMA ilitumika kuwa CUF ,ndio aje atuambie namna ACT wazalendo inavyotumika kuuwa CHADEMA .

Una muita Zitto Kabwe msaliti anatumika ,umemuita hivyo muda mrefu sana Lowassa uliyekuwa una mpinga kaja CHADEMA,kaondoka CHADEMA kurudi CCM na akakuachia kesi mahakamani (kesi ya Amani bila haki) ila Zitto Kabwe bado yupo upinzani ,Dr.Slaa ulikuwa una muita mpinzani yupo CCM Zitto bado yupo upinzani,Mwita ,Shonza,Kafulila,Katambi ,Mtatiro na wengine wapo CCM leo Zitto bado yupo upinzani alafu una muita Zitto msaliti kwa chuki zako

Juzi huyu Yericko Nyerere ameibuka tena kwa kumshambulia Zitto Kabwe kuhusu mahusiano yake na Tundu Lisu,eti Zitto alimtusi Tundu Lissu ,Zitto aliwatusi CHADEMA.Mbona husemi kuwa ni Tundu Lissu ndiye aliyesoma press ya kumvua uongozi Zitto na baadaye kusema Zitto ni Mbunge wa Mahakama?

Yote haya hayana nafasi tena kwa sasa ,sababu viongozi hawa wajuu wameona hakuna haja ya kuwa na uwadui ambao hauna faida ikiwa adui wao wote anajulikana wazi kwa sasa .

Hivyo wameamua kwa pamoja kusahau yaliyopita na kuganga yajayo(Forward Ever Backward never).Na uzuri wote Mh.Tundu na Mh.Zitto wamehojiwa DW jana ,wameweka sawa juu ya mahusiano yao ya ukaribu.

Wafitinishaji wanakutumia kufitinisha umoja wa vyama vya upinzani na wamepata hiyo fursa kukutumia wewe sababu ya chuki zako binafsi dhidi ya Zitto Kabwe.

Uzuri ni kwamba Yericko hutaweza ,Sababu kila mtu anajua kuwa wewe ni kibaraka na unatumika kwa chuki zako kukwamisha umoja imara wa upinzani nchini .Kila mtu anajua kuwa wewe ni mtu wa kuzusha na muongo ,jambo zuri zaidi ni kuwa viongozi wakubwa wa CHADEMA wanakupuuza na hata wanachama pia wanakupuuza sababu wanakujua ,wasio kujua ndio wataamini hekaya zako za Abuniwasi.

Mbali na fitna zako na chuki dhidi ya Zitto Kabwe,umekuwa ukijisahau na kujikuta ukimsifu Zitto Kabwe kuwa ni kiongozi imara.Umemsifu tarehe 8 octoba 2017 kuhusu *ubatili juu ya uteuzi wa katibu wa Bunge* ,umemsifu tarehe 11/Februari / 2018 kuhusu *mabadiliko ya Sheria ya TISS na namna TISS* inavyopaswa kufanya kazi.Ukasau kuwa "Y can not be Y and be Y at the same time" Y ni Y tuu ,lazima ujue kuwa "Zitto ni Zitto tuu siku zote" .

Sijawahi muona Mh.Mbowe akimsema vibaya Mh.Zitto wala Mh.Zitto akimsema vibaya Mh.Mbowe.

Sijawahi kuona viongozi wajuu wa CHADEMA au NCCR wakimsema au kumshambulia Zitto Kabwe tangu alipo hamia ACT wazalendo .Wewe Yericko ni nani ndani ya uongozi wa CHADEMA hadi ujipe cheo cha kuisemea CHADEMA na kuaminisha umma fitna na chuki zako,kwani viongozi hawapo?

Ni kwasababu wanajua uimara na mshikamano wa vyama pinzani.

Nikuache na Maneno haya:

Kiongozi mkongwe wa chama pinzani nchini New Zealand Hon.Donald Thomas Brash (Don Brash) aliwahi sema hivi.

"Opposition parties don’t have the same resources as the Government and the Executive, so we have to work twice as hard to get the same results"

Kuwa upinzani hauna rasilimali kama ambavyo Serikali au chama kilicho madarakani wanalivyo ,hivyo upinzani una paswa kufanya kazi mara mbili yake au hata zaidi ili kufikia malengo na matokeo. Don Brash alilisitiza sana juu ya umoja,upendo na mshikamano wa upinzani na sio migogoro miongoni mwa wapinzani.

Abdul Nondo.
abdulnondo10@gmail.com
0659366125

Nyegezi-Mwanza.
 
YERICKO NYERERE ALAMA YA IMANI NDANI YA CHADEMA.

Kama ukitaka kuongelea imani ya vyama, kuheshimu na kupigania vyama basi kwa Tanzania jina Yericko Nyerere lazima liwe la kwanza.

Sifahamu nafasi yake ndani ya CHADEMA ila nadiriki kusema ni nembo imara ndani ya Chama. Ni mlinzi mtiifu wa misingi, imani na viongozi wa chama kuliko vijana wengine wengi tuu.

Yericko hataki kupepesa macho juu ya uhuni wa Zitto, Yericko anafahamu ujanja ujanja wa Zitto na anafahamu malengo ya Zitto ni kuhakikisha Chadema inapasuka vipande vipande.

Yericko anafahamu fika chuki ya Zitto kwa Chadema bado ni kubwa na bado inaishi.

Rejea miezi kadhaa nyuma Yericko alipouamsha Umma kwa taarifa za Afisa habari wa ACT kuwa muhariri mkuu wa Jamvi la habari gazeti linalofadhiliwa na dola kupambana na Chadema.

Ni chini ya Uhariri wa Abdallah Hamis Mbowe alionekana kaiongopea mahakama na kuishia kukaa gerezani kwa miezi kadhaa.

Leo Yericko anakuja na madai muhimu sana, vijana wa Zitto wanaanza kumuandikia propaganda uchwara.

Zitto anataka kutumia ugonjwa na masaibu yaliyopata Lissu kusababisha mpasuko ndani ya Chadema. Hili Jasusi Yericko kaliona.

Rejea Makala za Speaker ya Zitto Ado Shaibu week hizi mbili. Amejikita kuongelea zaidi Zitto na Lissu na sio ACT na Chadema. Hapa unaona kabisa target yao ni Lissu na sio ushirikiano wa vyama.

Zitto kavuka mipaka na kuutaarifu umma wapinzani wa kweli Tanzania ni wawili tuu na mmoja wao ni Lissu, Maana yake Mbowe, Lema, Mnyika, Mdee na wengine wengi waliopigana na kupambana kwa muda sasa wasiaminiwe kabisa na wananchi maana ni wana Ccm walojivika ngozi ya upinzani.

Kwanni tusikubaliane na Yericko kwamba Zitto yupo kwa ajili ya mission maalum na zaidi ni kuifuta kabisa Chadema.

Cwu Tanzania
 
Kama Act kikawa chama kikuu cha upinzani na kikaweza kuitoa ccm madarakani shida nini? Hapo tatizo lenu nyie chadema mnatetea chama na sio taifa
uzi mrefuuu wote huu wanini ABDULI mdogo wangu siasa za namna hii haziko kwenye wakati huu
Abduli tunaijua mipango yako yote ww na Zitto
tunaelewa kwanini Zitto huenda Belgium kila uchao
Yeriko si wa CHADEMA na CHADEMA si ya Yeriko
mawazo yenu ya kukifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani
haitofanikiwa kwa kipindi hiki cha chaguzi za karatasi dhidi ya mtutu
 
Kama katika upinzani pamejaa chuki za wenyewe kwa wenyewe tena za muda mrefu, hivi watu wakisema huwa mnajiteka, mnapotezana, mnauana, hata wakaenda mbali wakasema upinzani ndio ulishiriki kumdhuru Lissu watakosea? Mimi nashauri tu kuwa kama kuna mapungufu yanayohusu upinzani sio vyema kuyaanika nje, kuna watu watatumia mianya hiyo kutekeleza uovu wao.
 
wanasiasa pekee wa upinzani waliobaki ni TUNDU LISU NA ZITO, basi, hao ndio wanasiasa pekee wa upinzani wenye hoja zenye ushawishi. wengine wote hakuna kitu.
 
YERICKO NYERERE ALAMA YA IMANI NDANI YA CHADEMA.

Kama ukitaka kuongelea imani ya vyama, kuheshimu na kupigania vyama basi kwa Tanzania jina Yericko Nyerere lazima liwe la kwanza.

Sifahamu nafasi yake ndani ya CHADEMA ila nadiriki kusema ni nembo imara ndani ya Chama. Ni mlinzi mtiifu wa misingi, imani na viongozi wa chama kuliko vijana wengine wengi tuu.

Yericko hataki kupepesa macho juu ya uhuni wa Zitto, Yericko anafahamu ujanja ujanja wa Zitto na anafahamu malengo ya Zitto ni kuhakikisha Chadema inapasuka vipande vipande.

Yericko anafahamu fika chuki ya Zitto kwa Chadema bado ni kubwa na bado inaishi.

Rejea miezi kadhaa nyuma Yericko alipouamsha Umma kwa taarifa za Afisa habari wa ACT kuwa muhariri mkuu wa Jamvi la habari gazeti linalofadhiliwa na dola kupambana na Chadema.

Ni chini ya Uhariri wa Abdallah Hamis Mbowe alionekana kaiongopea mahakama na kuishia kukaa gerezani kwa miezi kadhaa.

Leo Yericko anakuja na madai muhimu sana, vijana wa Zitto wanaanza kumuandikia propaganda uchwara.

Zitto anataka kutumia ugonjwa na masaibu yaliyopata Lissu kusababisha mpasuko ndani ya Chadema. Hili Jasusi Yericko kaliona.

Rejea Makala za Speaker ya Zitto Ado Shaibu week hizi mbili. Amejikita kuongelea zaidi Zitto na Lissu na sio ACT na Chadema. Hapa unaona kabisa target yao ni Lissu na sio ushirikiano wa vyama.

Zitto kavuka mipaka na kuutaarifu umma wapinzani wa kweli Tanzania ni wawili tuu na mmoja wao ni Lissu, Maana yake Mbowe, Lema, Mnyika, Mdee na wengine wengi waliopigana na kupambana kwa muda sasa wasiaminiwe kabisa na wananchi maana ni wana Ccm walojivika ngozi ya upinzani.

Kwanni tusikubaliane na Yericko kwamba Zitto yupo kwa ajili ya mission maalum na zaidi ni kuifuta kabisa Chadema.

Cwu Tanzania
Zitto
 
uzi mrefuuu wote huu wanini ABDULI mdogo wangu siasa za namna hii haziko kwenye wakati huu
Abduli tunaijua mipango yako yote ww na Zitto
tunaelewa kwanini Zitto huenda Belgium kila uchao
Yeriko si wa CHADEMA na CHADEMA si ya Yeriko
mawazo yenu ya kukifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani
haitofanikiwa kwa kipindi hiki cha chaguzi za karatasi dhidi ya mtutu
Jiandae tuu kulipokea. ACT 2020-2030 main opposition party. Ndo maana Maalim kajiunga na Lissu hana namna. Siasa si uadui bali kuunga mkono mipango inayotekelezeka. Mpango unaotekelezeka kwa ACT ni kuwa chama kikuu cha upinzani basi, maana kuingia ikulu kwa chama cha upinzani kwa sasa ni ndoto.
 
Nondo ni msemaji wa Zito na ACT??
Mbona dish limehama?
Huyo Zito alipamba CDM akiwa ndani akatengeneza watu kama Kitilya Shonza etc akawalipa fedha waisaliti CDM wakabanwa wakafukuzwa na yeye pia.
Hayo mapenzi mapya kayapata wapi??
Zito ni msaliti anamfuata Tls anaona ni sitting duck ili azidi kubomoa CDM.
Wenye akili wanaona drama lote, huyo ni Mrema No2. Ni moore wa MaCCM pandikizi kwenye upinzani!!
Amesababisha watu wafe huyo wengine bado wapo jela.
Huelewi Nodo??
 
Nimekuwa nikifuatilia maandiko ya Yericko Nyerere tangu 2013 dhidi ya Zitto Kabwe hadi leo.Nina diriki kusema kwamba Yericko Nyerere amehifadhi chuki binafsi nzito dhidi ya Zitto Kabwe hadi sasa .Chuki hizo husababishwa na mgogoro wa kinafsi (personal conflict) ndani ya Yericko kuona Zitto Kabwe aliyekuwa akimtusi na kumshambulia tangu zamani akiendelea kuwa mwanasiasa imara na wakuaminiwa na wana demokrasia,vijana , watanzania na vyama vingine vya upinzani .

Jambo hilo limekuwa likimfanya Yericko kuendeleza mapambano yake binafsi, kwa kuhusisha taasisi ya Chadema , wanachama dhidi ya Zitto Kabwe na ACT wazalendo.

Bahati mbaya sana,chuki zake binafsi amezihusisha na Chadema na wanachama wake baadhi wanaomuamini sio wanaomjua ,wanaomjua wanampuuza kila siku ila wasiomjua wanamuamini.Mimi nataka umjue Yericko Nyerere leo kuwa chuki zake dhidi ya Zitto Kabwe ni chuki binafsi na za muda mrefu .Sema haamini kuwa Zitto Kabwe hakuanguka alipitarajia Zitto aanguke.

Labda anajiaribu leo kwa kupata endorsement kutoka kwa wafitinishaji wengine kupitia yeye ,kujiaribu kama atamuangusha.

*2013* hadi leo Yericko Nyerere amekuwa na chuki binafsi dhidi ya Zitto Kabwe.Na amekuwa akimshambulia Zitto mitandaoni na Jamii Forum waziwazi kwa muda mrefu sana.

Tarehe 5/Januari/2014 katika blog ya Yericko Nyerere mwenyewe aliandika andiko shambulizi dhidi ya Zitto

Kichwa cha habari.
" *Uongozi wa Siasa Tanzania umekosa maadili ya uongozi wa Taifa kuzaa akina Zitto* " . Akimshambulia Zitto ,ila Zitto alimpuuza.

Tarehe 15 ,Novemba 2015 , Yericko Nyerere aliandika Jamii Forum kuwa tar 13/11/2013 saa tano usiku ,alipigiwa simu namba +4915739568962 ,kuwa akitishiwa .akaenda polisi kufungua RB 9833/2013 .Anadai polisi walivyomuliza ahisi aliyemtishia ,yeye akataja Zitto Kabwe.

Ila baadaye kwa taarifa iligundulika kuwa ni Yericko Nyerere mwenyewe alitengeneza mtu ili kutishiwa kwa kupigiwa simu kwa code ya ujerumani mtandao wa E-plus ,ili aseme ni Zitto Kabwe .Sababu eti siku kadhaa Zitto alikuwa ujerumani .Ila Zitto alimpuuza Yericko Nyerere.

Yericko huyu huyu ,alitamani Zitto asahaulike kabisa ,asitajwe asiandikwi popote kwa chuki zake binafsi.Tarehe 18,Januari 2014 Yericko Nyerere huyu huyu aliandika mitandaoni akishambulia magazeti ambayo yaliandika juu ya Zitto kabwe kulazwa Nigeria ,Yericko akaja akaandika kuwa habari hizo ni za uongo zimepikwa na Zitto mwenyewe aache kurubuni watanzania kupitia vyombo vya habari. Aliandika kana kwamba yeye ni mlinzi au PS wa Zitto Kabwe .

Unaweza kuona namna ambavyo ,Yericko Nyerere alibeba chuki dhidi ya Zitto kabwe.Ila Zitto Kabwe aliendelea kimpuuza Kijana.

2013 ,Yericko huyu huyu alianza kampeni kusema ACT ni tawi la CCM ,Juzi tuu hapa katika kundi moja la whaatsp kataja kuwa CUF sio chama pinzani tena ni Tawi la CCM ,bali wapinzani ni CHADEMA ,ACT ,NCCR na vingine isipokuwa CUF.

Yericko Nyerere,huyu huyu tarehe 15/Machi/2019 .Alianza kampeni yake rasmi kumshambulia Maalim Seif kuhamia ACT , akamshambulia Zitto Kabwe na akakishambulia chama kuwa ni chama kidogo ,hakina madhara kwa CCM na kinatumika kuua CHADEMA.

Nilimjibu Yericko Nyerere kuwa kama ACT inatumika kuuwa CHADEMA ,aje atuambie ni namna gani CUF ilitumika kuuwa NCCR , atuambie namna CHADEMA ilitumika kuwa CUF ,ndio aje atuambie namna ACT wazalendo inavyotumika kuuwa CHADEMA .

Una muita Zitto Kabwe msaliti anatumika ,umemuita hivyo muda mrefu sana Lowassa uliyekuwa una mpinga kaja CHADEMA,kaondoka CHADEMA kurudi CCM na akakuachia kesi mahakamani (kesi ya Amani bila haki) ila Zitto Kabwe bado yupo upinzani ,Dr.Slaa ulikuwa una muita mpinzani yupo CCM Zitto bado yupo upinzani,Mwita ,Shonza,Kafulila,Katambi ,Mtatiro na wengine wapo CCM leo Zitto bado yupo upinzani alafu una muita Zitto msaliti kwa chuki zako

Juzi huyu Yericko Nyerere ameibuka tena kwa kumshambulia Zitto Kabwe kuhusu mahusiano yake na Tundu Lisu,eti Zitto alimtusi Tundu Lissu ,Zitto aliwatusi CHADEMA.Mbona husemi kuwa ni Tundu Lissu ndiye aliyesoma press ya kumvua uongozi Zitto na baadaye kusema Zitto ni Mbunge wa Mahakama?

Yote haya hayana nafasi tena kwa sasa ,sababu viongozi hawa wajuu wameona hakuna haja ya kuwa na uwadui ambao hauna faida ikiwa adui wao wote anajulikana wazi kwa sasa .

Hivyo wameamua kwa pamoja kusahau yaliyopita na kuganga yajayo(Forward Ever Backward never).Na uzuri wote Mh.Tundu na Mh.Zitto wamehojiwa DW jana ,wameweka sawa juu ya mahusiano yao ya ukaribu.

Wafitinishaji wanakutumia kufitinisha umoja wa vyama vya upinzani na wamepata hiyo fursa kukutumia wewe sababu ya chuki zako binafsi dhidi ya Zitto Kabwe.

Uzuri ni kwamba Yericko hutaweza ,Sababu kila mtu anajua kuwa wewe ni kibaraka na unatumika kwa chuki zako kukwamisha umoja imara wa upinzani nchini .Kila mtu anajua kuwa wewe ni mtu wa kuzusha na muongo ,jambo zuri zaidi ni kuwa viongozi wakubwa wa CHADEMA wanakupuuza na hata wanachama pia wanakupuuza sababu wanakujua ,wasio kujua ndio wataamini hekaya zako za Abuniwasi.

Mbali na fitna zako na chuki dhidi ya Zitto Kabwe,umekuwa ukijisahau na kujikuta ukimsifu Zitto Kabwe kuwa ni kiongozi imara.Umemsifu tarehe 8 octoba 2017 kuhusu *ubatili juu ya uteuzi wa katibu wa Bunge* ,umemsifu tarehe 11/Februari / 2018 kuhusu *mabadiliko ya Sheria ya TISS na namna TISS* inavyopaswa kufanya kazi.Ukasau kuwa "Y can not be Y and be Y at the same time" Y ni Y tuu ,lazima ujue kuwa "Zitto ni Zitto tuu siku zote" .

Sijawahi muona Mh.Mbowe akimsema vibaya Mh.Zitto wala Mh.Zitto akimsema vibaya Mh.Mbowe.

Sijawahi kuona viongozi wajuu wa CHADEMA au NCCR wakimsema au kumshambulia Zitto Kabwe tangu alipo hamia ACT wazalendo .Wewe Yericko ni nani ndani ya uongozi wa CHADEMA hadi ujipe cheo cha kuisemea CHADEMA na kuaminisha umma fitna na chuki zako,kwani viongozi hawapo?

Ni kwasababu wanajua uimara na mshikamano wa vyama pinzani.

Nikuache na Maneno haya:

Kiongozi mkongwe wa chama pinzani nchini New Zealand Hon.Donald Thomas Brash (Don Brash) aliwahi sema hivi.

"Opposition parties don’t have the same resources as the Government and the Executive, so we have to work twice as hard to get the same results"

Kuwa upinzani hauna rasilimali kama ambavyo Serikali au chama kilicho madarakani wanalivyo ,hivyo upinzani una paswa kufanya kazi mara mbili yake au hata zaidi ili kufikia malengo na matokeo. Don Brash alilisitiza sana juu ya umoja,upendo na mshikamano wa upinzani na sio migogoro miongoni mwa wapinzani.

Abdul Nondo.
abdulnondo10@gmail.com
0659366125

Nyegezi-Mwanza.
Wewe Abdul Nondo huna sifa ya kuingilia lolote kati ya Yericko na Zitto kwa sababu kila binadamu anayefuatilia siasa za Tanzania anajua wewe ni mfuasi kindaki ndaki wa Zitto. Kwakuwa una conflict of interest Hili bandiko lako ni
 
Back
Top Bottom