Mvungi ni ndugu yangu! Nimejawa na uchungu na maswali ambayo hayana majibu kuhusu kifo chake. Haikupaswa kuwa vile.......!
Kifo ni mipango ya mungu hvo tusipotoshane bure na kuingiza itikadi za kisiasaj
Aiseee.................Tafadhali msome Niccolo Machiavelli.
"Men ought either to be indulged or utterly destroyed, for if you merely offend them they take vengeance, but if you injure them greatly they are unable to retaliate, so that the injury done to a man ought to be such that vengeance cannot be feared"
Niccolo Machiavelli
"Men should be either treated generously or destroyed, because they take revenge for slight injuries - for heavy ones they cannot"
Niccolo Machiavelli
"If an injury has to be done to a man it should be so severe that his vengeance need not be feared"
Niccolo Machiavelli
Napata wasi wasi sana na usalama wa raia wa kawaida ikiwa wataalam tuliwasomesha kwa fedha nyingi wanauwawa kisenge hivi!.Prof.Mwakiusa alipigwa risasi pale kwake wazo na watu waliotajwa kama majambazi.....haya Dr.Mvungi naye kalala na sb ni zile zile....hii inashangaza.Wasi wasi wangu ni sb za kuuwawa kwao eti ujambazi!si amini hata kidogo,hapa kuna mkono wa mtu.Nikiangalia matukio ya kuandikwa kwa katiba mpya napata wasi wasi kwa sb Dr. Mvungi nipate mawazo nimesoma sana kazi zake alikuwa anaamini kwenye mfumo wa serikali 3,mamlaka ya wananchi,utawala bora kwa ujumla....uenda walimmaliza ili utekaji wa hoja uwe rahisi.
Ni mimi Mzalendo na mtanganyika kutoka Rorya.
Sauti kuu ya Tanganyika ipo siku itarudi.
Huyu jamaa si ndio ametuletea neno MAKAVELI kwa lugha ya kijiweni? zamani nilikua nadhani ni neno la mtaani tu!
Wako wengi, akina ndugu yangu CHACHA ZAKAYO WANGWE, mbona yeye hamumsemi au kwa sababu hana wa kumsemea?prof LIVIGA ATHUMAN JE?
Kaka ukisoma issues kwenye Political Science zinazohusiana na power lazima Ukutane na huyu jamaa aliyekuwa Mpishi...ni Muitaliano yeye anasema ikiwezekana fanya mauaji ili usiachie madaraka. Na anasema ukiamua kumuumiza mtu muumize kikweli kweli ili revenge yake isiogopwe
r.i.p chacha zakayo wangwe.r.i.p dr.mvungi