Chuki ya Kagame kwa Rais Kikwete ilianza siku nyingi, soma hapa....

nicksemu

Senior Member
Feb 6, 2012
199
39
Rwandan news agency criticizes Tanzanian government`s “big brother” role
BBC Monitoring Africa
May 29, 2013

Kagame7.jpg

Text of report entitled “President Kikwete says Rwanda territory was part of Tanzania” in English by Rwandan news agency RNA

Kigali, 29 May RNA - In yet more shocking revelations, RNA has uncovered a speech made back in 2006, in which President Jakaya Kikwete told an audience in the United States that Rwanda and Burundi were part of Tanzania, and only broke away after World War I.

This speech could explain why President Kikwete`s government has tended to play “big brother” over Rwanda and Burundi at regional and international platforms. Case in point, President Kikwete`s government silently opposed the entry of the two nations into the East African Community (EAC). The Tanzanians had to come on board, when it became apparent that Kenya and Uganda were positive.

Judging from the speech RNA has obtained, President Kikwete`s latest declarations are meant to signal to Rwanda that it owes its existence to its larger neighbour, Tanzania. On the evening of September 25, 2006, President Kikwete gave an address at the African Presidential Archives and Research Centre at Boston University (USA).

President Kikwete had been invited to speak about the evolution of Muslim-Christian relations, using Tanzania as his case. In the speech, President Kikwete also addressed colonialism which he blamed for most of Africa`s ills - including breaking up communities. “Present day mainland Tanzania was defined in 1884 at the Berlin Conference of the Great European powers of the time,” explained Kikwete. “It comprised Tanganyika and the present-day nations of Rwanda and Burundi.”

RNA landed on the speech while sifting through the archive of President Kikwete`s speeches. To be sure it is not a hoax; RNA verified the speech with reports at the time. Several media covered the speech as well, but the potion on Rwanda was not highlighted.

The President added: “The British inherited Tanganyika from the Germans while Rwanda and Burundi went to the Belgians after the Germans were defeated in the First World War.”

Angry at Rwanda`s successes?

Could this feeling of superiority explain President Kikwete`s comments - essentially demanding that the Government in Kigali must sit down for talks with the FDLR rebels, a group that executed the 1994 genocide against Tutsis? The US government has imposed 5m US dollar bounties on its leaders, and labelled it a terrorist organization. The UN blames the FDLR for some of the worst crimes in DR Congo.

For some understanding of how President Kikwete feels about President Kagame and his government, a Ugandan newspaper The Independent gives a rare insight into how fragile Rwanda-Tanzania relations have become. Kikwete`s view of Rwanda is “blurred by internal failures of his government”, argues the magazine, in its 22 March 2013 article. “Under him, Tanzania has seen unprecedented corruption and failure to deliver basic services to the people. The situation is not helped when he is constantly reminded of Kagame`s success in the little neighbour, Rwanda.”

The magazine goes on to give instances when Tanzania has simply opposed Rwanda`s submissions at international platforms for the sake of simply trying to be on the opposite end of the discussion. As some people have put on social media, President Kikwete`s demands for Kigali-FDLR talks, was long overdue. Perhaps, the Tanzania leader had been waiting for the right moment, which he got at the AU sideline meeting on DRCongo.

So, was Rwanda part of Tanzania?

For decades, it seems, the elite class in Tanzania led by President Jakaya Kikwete is convinced that small Rwanda does not merit international glorification because it was part of Nyerere`s land. Available ancient history books, however, tell us that Rwanda as country emerged back in the 15[SUP]th[/SUP]century, long before all the countries in this region.

Around 1899, Rwanda came under Germany, along with Tanganyika. The Germans indirectly ruled Rwanda during the colonial period. Following World War I, Germany lost all its territories. Rwanda became a part of the League of Nations under Belgium.

Editor`s Note: RNA invites politico-historians to provide write-ups about how Rwanda came into existence. The stories will be published to give contextual understanding of Rwanda`s standing in the region in ancient times until end of the colonial ear.

Source: RNA news agency, Kigali, in English 1447 gmt 29 May 13

© 2013 The British Broadcasting Corporation. All Rights Reserved.

KUMBE NI UGOMVI WA SIKU NYINGI SIO WA LEO, KWA MAANA HIYO TANZANIA CHINI YA RAIS KIKWETE HAIWEZI IKAWA MSURUHISHI WA SERIKALI YA RWANDA NA WAASI(FDLR)
 
nicksemu, can you please put Paul Kagame on hold. Tell him big brother is busy cleaning up a mess in the bedroom. an erratic wife is about to be evicted. tell'm we'll get back to him as quickly as we can. Would you mind doing that for us please?!
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nipite silently!!! Kule Malawi nako Moshi unaendelea kufuka kwa kasi!!!! Tutaona kila rangi!!! Wawekezaji uchwara nao wanatutafuna!! Wanasafirisha wanyama hai, na madini serikali na usalama wake hawajui!! Sasa sisi tuna uginjwa gani wajameni?
 
nicksemu, can you please put Paul Kagame on hold. Tell him big brother is busy cleaning up a mess in the bedroom. an erratic wife is about to be evicted. tell'm we'll get back to him as quickly as we can. Would you mind doing that for us please?!
hahahahaaaa very funny!!
 
Ningekua Amiri Jeshi Mkuu leo hii nisingefanya jambo lingine zaidi ya kum-finance Jenerali Kayumba Nyamwasa kumpindua huyu Bloody Thirsty Dictator Kagame na kule Malawi ningeelekeza Nguvu kwa Prof.Peter Mutharika afutilie Mbali kibaraka mkubwa wa Mabeberu Joyce Banda(shame of Africa) wakati huo huo nikitumia vein tactic ya umuhimu wa Diplomasia
 
Huyu Kagame siku zake zinahesabika, na ataondolewa kwa mtutu, tusitegemee kutakuwa na demokrasia Rwanda.
 
Ningekua Amiri Jeshi Mkuu leo hii nisingefanya jambo lingine zaidi ya kum-finance Jenerali Kayumba Nyamwasa kumpindua huyu Bloody Thirsty Dictator Kagame na kule Malawi ningeelekeza Nguvu kwa Prof.Peter Mutharika afutilie Mbali kibaraka mkubwa wa Mabeberu Joyce Banda(shame of Africa) wakati huo huo nikitumia vein tactic ya umuhimu wa Diplomasia

BEN SAANANE.This is the most radical statement i have ever seen/heard.Chadema mnaandaa kiongozi hatari sana wa baadae hapa

.
Nisingetegemea msimamo tofauti na huu kutoka kwako kama mwanasiasa Mbishi,misimamo mikali,jeuri usiyeambilika
 
Kuna mtu of a high rank aliwahi kuniambia kuwa msingi wa mtofautiano mkubwa kati yao ni pale jamaa aliporopoka kuwa akipewa Tanzania ni ndani ya miaka mi-5 tu nchi imenyooka na uchumi unasogea...

Nasikia jamaa akaona hili ni kama tusi kwake
 
Mwisho wake kagame unakuja dunia ya leo siyo ya kuongoza kwa nguvu anajidanganya tu.
 
Ningekua Amiri Jeshi Mkuu leo hii nisingefanya jambo lingine zaidi ya kum-finance Jenerali Kayumba Nyamwasa kumpindua huyu Bloody Thirsty Dictator Kagame na kule Malawi ningeelekeza Nguvu kwa Prof.Peter Mutharika afutilie Mbali kibaraka mkubwa wa Mabeberu Joyce Banda(shame of Africa) wakati huo huo nikitumia vein tactic ya umuhimu wa Diplomasia

The easiest and the most fastest solution is to make sure this bustard (they call him kagame) dies by multiple Gun shots. We can if we want
 
BEN SAANANE.This is the most radical statement i have ever seen/heard.Chadema mnaandaa kiongozi hatari sana wa baadae hapa

.
Nisingetegemea msimamo tofauti na huu kutoka kwako kama mwanasiasa Mbishi,misimamo mikali,jeuri usiyeambilika

hili ndio tatizo la maCCM! Ben Saanane kacomment kama mtanzania ambaye rais wake ni JK unaona hastahili? when it comes to national interest hebu tuache umbumbumbu guyz! CCM members mnauwa uzalendo kwa maslahi yenu poor u! Cyo kwamba mtu akiwa CDM amepoteza haki ya kuwa mtanzania! Ebo!
 
Kuna mtu of a high rank aliwahi kuniambia kuwa msingi wa mtofautiano mkubwa kati yao ni pale jamaa aliporopoka kuwa akipewa Tanzania ni ndani ya miaka mi-5 tu nchi imenyooka na uchumi unasogea...

Nasikia jamaa akaona hili ni kama tusi kwake

yaah kama nilivyosema mwanzoni kuna chuki tu hapo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom