Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

Status
Not open for further replies.
wachaga tuna jenga nchi tukishirikiana na makabila mengine hata kama una undugu nepi nnayule
 
Nililishuhudia Bungeni wakati wa bajeti ya Elimu eti kaskazini wamependelewa kwa kupewa shule nyingi.
Mfano wilaya inashule 100 ukarabati shule 20. Kwingine wilaya inashule 20 ukarabati shule 10 wanasema ni upendeleo kaskazini kwanini wasigawane sawsawa. Hivi kweli wa kulala mika hapo ni nani? Ambaye 20% ya shule zake zinakarabatiwa au 50% YA SHULE ZAKE ZINA KARABATIWA.

HII NI SERa ileile ya ubaguzi kama ilivyoa ya udini iliyo asisiwa na Kikwete.
 
Eti unataka kutuambia Omar Mahita ni mchaga? Wa Kishimundu au Kiboroloni??

Hii ngumu kumesa asee!!

Haha..mchaga wa morogoro.teh teh...aliyejifunza kuwekeza kama wachaga akajenga miradi ya hovyo sana morogoro ili atumie kupata ubunge,..na si kupata ubunge ili mali zake zipate heshima .Kwake ni ubunge halafu miradi ife.
 
mchana wanashona viatu usiku balaaa.

sijui km unakumbuka kule ngara, sekenke, milima ya kitonga, makambako, sirari, tunduma ,wami, na shemu nyingine ambzao magari yalikuwa yakipita na askari usiku na mchana ni ya wachaga..?

Makabila mengi uchawi ndio uliwatuliza ila hakuna sababu ingine.Tunaona serikalini....tatizo ni kwamba wachaga vitu vyao hufanya vyema...walio kwa Mungu,walio ktk wizi, walio ktk biashara, walio ktk ajira....nimeona hata sehemu wanapobana na kuwa na ukabila pakifunguka tuu akaingia mchaga..spirit inachange...ama kwa owga wa wengine ama kw amchag kujifunza jinsi ya kusurvive kw akile anachooneshwa na wengine.

Cha kujilaumu kwa wengine ni kukosa umakini hata ktk mambo mabaya..ni kuwa vuguvugu bila kuamua kuwa baridi au moto...hivi kasusura alipoiba hela alikwenda shikwa wapi tena?
 
Ukikuta doctor,engineer,lawyer 80% kama sio mchaga,mhaya.vyuoni hivyohivyo.angalia mawaziri wanaoperform,tibaijuka,magufuli,kagasheki.jamani wahaya,wachaga waacheni,wamewatangulia mno.
 
Mtoa mada chuki dhidi ya wachanga si kwa sababu inapandikizwa, ni kwa sababu watu wanaona matendo yao!
 
kwa nini KILIMANJARO shule ni nyingi,Morogoro mjini GUEST HOUSES siyo HOTELI ni nyingi,na kama KILI kuna ujambazi mkubwa kwa nini VITUO VYA POLISI si vingi? kwa nini watu wanaliwa na simba mbarara kwa wingi Tunduru wakati msitu ni mkubwa,mbao ni nyingi,lakini MILANGO YA NYUMBA ni mabua ya mtama au mahindi?ACHENI KUFIKIRI KWA MACHO si kazi yake,fikiri kwa ubongo,
 
Mbarikiwe wachaga wote,mimi ni mbena nawakubali sana wachaga kwa mnkari wa maendeleo big up your role model of development!
 
ni nani asiyepafahamu dukani kwa Mangi, Bwashee, au Masawe hao ndo watu wenye maduka mengi kila kona, kila mtaa, nenda vyuoni kati ya watu 10 wanne wanatoka Kilimanjaro (mpare+mchaga) unatarajia nini baada ya miaka 5, maofisini

Na wewe waambie watu wa mkoa wako wakasome waache kuamka na kucheza bao na kunywa kahawa asubuhi hadi jioni.
 
kipindi cha wazri wa fedha mramba alilalamikiwa na kujieleza mbele ya bunge akilalamikiwa kujaza wachaga nmb na taasisi nyingine za fedha.

we vp rudia kufikiria mbona wamemtosa kama aliwasaidia au hujuwi unamuongelea nani ???
Alafu acha mawazo mgando yule alikuwa ana angalia cv na siyo sura !!
Ukikutana na mchina anayejuwa kiswahili kidogo mulize we ni mtanzania atakuambia ndio mimi mchaga !!
Ukikutana na waturuki makaburu wengi waulize we kabila gani watakuambia mimi mchaga.
So na wewe kuanzia kesho anza kusema me mchaga !!
Ila onyo kama unalipwa shilingi za kitanzania 250,000/= basi akikisha mwezi mzima unakula 145,000/= alafu hii 105,000/= iweke kwa siku utatakiwa utumie kama 4800 ukishindwa we usijiete mchaga !! Baada ya miezi 10 ukiwa una weka 105,000/= nitafute nitakuambia ufanye nini blve yse or no wazo hilo nilimpa mdogo wangu leo miaka 3iliyo pita leo ameanza kuitwa baba mwenye nyumba. Ila ujifunze kuacha wivu wa kike !!
 
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi kutokana na asili yao.Ila uwepo wa hizi tabia ni wa kukemea sana.

Mambo haya yameonekana hata ktk sera za nchi.Si rafiki sana kw amikoa km kilimanjaro, ila kidogo kinachopatikana ktk ule mkoa kam juhudi za wale watu serikali imekuwa ikijaribu waaminisha raia km vile kuna upendeleo fulani.Wengine wakiwachukuliwa wachaga kama wadhulumu wa watanzania.Wengine wakiwaita wabaguzi, wengine wakisema wasemalo.

Sasa hivi chuki zimefikia kuwanyima haki ya kuingia ktk siasa, kuwanyima kusimama ktk ngazi za juu ktk taasisi.Wamefikia mahali pa kufanya kampeni dhalimu dhidi ya vyama vingine kwa kuvihusisha na wachaga.Ingawa hakuna anayefanyahivyo kwa wasio raisa wa tanzania km wasomali, wahindi, waarabu na hata watu wa nchi jirani.

Kwangu mimi hili jambo naliona limefikia hatua hatari sana na linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote.NI wakati watu pia wakaona juhudi za wachaga, na ufundi wao wa kujitafutia.Itambulike kuwa suala la ubaguzi ni la kila kabila pale wanaposhindwa aminiana.Ingawa kuna makabila mengi tuu ni wabaguzi,ila hawana strategy za mafanikio popote, mara waonapo wingi wa wachaga huchukuliwa kuwa ni undugulization ndio umewafikisha kwa wingi.Ila hawapendi tambua kuwa wachaga hunusa sehemu iwafaayo kwa mafanikio km ilivyo jamii za kihindi.Hata wanyama hujisogeza ktk mazingira yawaafayo kusitawi.

Ni ajabu sana hakuna mtu anayeongelea kuwa ubaguzi na upendeleo wa kabila vyote ni ukabila.Ningependa nipate maelezo ya hao wenye husda.

Wakati mwingine wakati wa kuandika huwe unaushirikisha ubongo wako.

Wapi wachanga wamenyimwa haki ya kuingia kwenye siasa au unaropoko tu Mrema ni kiongozi TLP mchaga, Mbatia kiongozi wa NCCR Mageuzi mchaga, Mbowe kiongozi wa Chadema mchaga, acha kuropoka.
 
Mimi nashangaa sana Kimara wamejaa wachaga lakini kila siku ujambazi wenyewe kwa wenyewe.
 
siku zenu zinahesabiwa,,wakinga,wahehe,wajita,wabena wanakuja kwa kasi,,,

ukitaka kujuwa unawaza pumba tafuta mchaga mpigiye sim tafuta yule ambaye hali yake ni mbaya ila anakiwanja mwambiye akuuziye ndiyo utapata jibu kuwa huwezi kuwa hamisha walipo fika !!
 
Status
Not open for further replies.
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom