Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

Status
Not open for further replies.
Duh, Kuna mchaga mmoja ameoa mwanamke wa kunyumba, basi kila mwezi mchaga anamshinikiza mwanamke amkopee angalau laki 5 kila mwezi. Sasa hivi demu ana madeni kila mahali hadi wanaodai wanasomba makochi,tv, nk. Mchaga ashamruka. Nuksi hawaaa...!

We mwehu kweli
 
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi kutokana na asili yao.Ila uwepo wa hizi tabia ni wa kukemea sana.

Mambo haya yameonekana hata ktk sera za nchi.Si rafiki sana kw amikoa km kilimanjaro, ila kidogo kinachopatikana ktk ule mkoa kam juhudi za wale watu serikali imekuwa ikijaribu waaminisha raia km vile kuna upendeleo fulani.Wengine wakiwachukuliwa wachaga kama wadhulumu wa watanzania.Wengine wakiwaita wabaguzi, wengine wakisema wasemalo.

Sasa hivi chuki zimefikia kuwanyima haki ya kuingia ktk siasa, kuwanyima kusimama ktk ngazi za juu ktk taasisi.Wamefikia mahali pa kufanya kampeni dhalimu dhidi ya vyama vingine kwa kuvihusisha na wachaga.Ingawa hakuna anayefanyahivyo kwa wasio raisa wa tanzania km wasomali, wahindi, waarabu na hata watu wa nchi jirani.

Kwangu mimi hili jambo naliona limefikia hatua hatari sana na linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote.NI wakati watu pia wakaona juhudi za wachaga, na ufundi wao wa kujitafutia.Itambulike kuwa suala la ubaguzi ni la kila kabila pale wanaposhindwa aminiana.Ingawa kuna makabila mengi tuu ni wabaguzi,ila hawana strategy za mafanikio popote, mara waonapo wingi wa wachaga huchukuliwa kuwa ni undugulization ndio umewafikisha kwa wingi.Ila hawapendi tambua kuwa wachaga hunusa sehemu iwafaayo kwa mafanikio km ilivyo jamii za kihindi.Hata wanyama hujisogeza ktk mazingira yawaafayo kusitawi.

Ni ajabu sana hakuna mtu anayeongelea kuwa ubaguzi na upendeleo wa kabila vyote ni ukabila.Ningependa nipate maelezo ya hao wenye husda.

Hizo chuki wewe ndo wazijua na hakuna mwingine mwenye nazo!
 
Wachaga ni balaa hata useme nn! Ni wakabila, mafisadi, wadini, wabinafsi, waroho, wapenda sifa, wezi n.k. Kwahy hapa sio suala la ccm bana, tunaishi nao mtaani tunawajua. Wanavikao vyao vya siri usiku kuhujumu wafanyabiashara wenzao. Huo ndio ukweli haupungiki.

Wewe lazima utakuwa mvivu sana..
Mara zote watu wavivu huwa hivi.
 
Wachaga ni balaa hata useme nn! Ni wakabila, mafisadi, wadini, wabinafsi, waroho, wapenda sifa, wezi n.k. Kwahy hapa sio suala la ccm bana, tunaishi nao mtaani tunawajua. Wanavikao vyao vya siri usiku kuhujumu wafanyabiashara wenzao. Huo ndio ukweli haupungiki.

Kwa watu wenye mawazo mgando kama wewe mliberali. Wachaga ni kabila kinalopenda maendeleoa na wanaothamini elimu. Maendeleo ya wachaga hayakuanza leo. Vijiji vyote umeme maji road nzuri.
 
Huwa naona haya hata kwa wahaya ikitokea tu ukasimama mbele za watu hawatakudifine othws ila ww ni mhaya ...mie nafikiri baadhi ya vitu ni mazoea tu japo kuna ishu chache zinazokuwa zinahitaji kweli kujibiwa

Mfano ni hii bajeti iliyopitishwa kuna wizara mbili ya maji baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro yalionekana kupewa pesa nyingi sana kuliko mikoa mingine na wakati tatizo la maji ni la kila mkoa na maji yanahitajika kote,sasa kweli hii haikueleweka kabisa hata mie sikubaliani nalo kabisa

Jambo la pili ni mfano wa bajeti ya elimu mwanzo ilionekana kuna shule 104 mkoa huo zinatakiwa kukarabatiwa ilohali mikoa mingine imepewa shule hazifiki hata 50,katika hili wabunge waliongea sana mpaka wakatoa maneno makali juu ya upendeleo wa hivyo hadi waziri alipokubali kwenda kurekebisha upya mgawanyo kwa kuzingatia usawa wa mikoa,sasa sijuhi ni kwa bahati mbaya ama ni planned?


Kwa mambo kama haya ndo yanayofanya labda watu waongee mambo mengi na katika ukweli ndugu zetu kwa haya mnatakiwa kupunguza upendeleo wa wazi hvyo ili muweze kueleweka katika jamii yetu ya kitanzania ambayo haichelewi kuwaona vinginevyo

Kipindi cha Wazri wa fedha Mramba alilalamikiwa na kujieleza mbele ya Bunge akilalamikiwa kujaza Wachaga NMB na Taasisi nyingine za fedha.
 
Ilishawahi semwa Kilimanjaro imefanikiwa,kwa hiyo wasiendelee tena hadi wengine nao wainuke.Hii imeshakuwa rasmi.Ikaja nyingine wachaga wasipewe nchi..sasa hivi imekuwa rasmi kabisa.Ikaja nyingine kuwa wachaga ni wabaguzi...nayo imekuwa rasmi.

Mbaya watu wa mikoa hawajajiuliza wachaga wanavyobaguliwa wao wa react vipi zaidi ya kushikama?Watu hao hao mara zote wamekuwa wakiwacheka wachaga kuwa ni washamba,hawajui hili na lile..sasa mbona ukweli unapojidhihirisha wasijifunze.

Nilikuwa sehemu viongozi wa CCM wakijadili bila haya wakisema wachaga waliopo ktk uongozi hawataki leta maendeleo mikoa ya watu..huku wakitaja msusuru mrefu wa wachaga ktk uongozi kupitia CCM.

Niliwpaa kubwa ..nikawaambia wakaanalie makanisa mapya nchi nzima nani awapo mstari wambele kujenga, shule ktk kata, issue za kupambana ili pawe na barabara hata kwa kutoka na majembe kwa pamoja, kamati za ulinzi etc.Walishangaa sana kuwa makanisa mengi walijenga wachaga kutokana na sehemu waliyotoka...warombo ,wakibosho, wa kilema wamejenga katoliki, wamachame watu wa marangu, mamba na mwika wamejenga Lutherani, na mchanganyiko wao kwa makanisa ya kiroho.

Pia waislam wachache pia wamekuwa nguzo kujenga misikiti sehemu wanazofikia....hakuna siyejua vitega uchumi vya wachaga ktk mikoa mingine...wana mahoteli,viwanda, shule, vyuo vikuu , baa ,karakana na taasisi nyingine zenye majengo ya kudumu na ya fahari ktk mikoa mingine zaidi ya hata wazawa.Mifano ipo hai ,dar, Tanga,Arusha, mwanza, mbeya, morogoro,dodoma, shinyanga,Tabora, na kwingine kote.....ila sijui km kuna mzaramo, mmamtumbi, ambaye kajenga kigoma?...kule Arusha.Sehemu za kuabudia zimejengwa na wachaga.....mahoteli makubwa wachaga...shule za kata...ila bado CCM (Lowassa na wengine wanasema kuwa wachaga wasichaguliwe),sasa hivi wanampiga vita Lema kwa ukabila..ila wao pia walikuwa na mchaga kabla ya Lema..wakamwondoa kwa ukabila.
 
Kwa taarifa tu mtoto wa kichaga akikua tu anapewa kiwanja! Na kuambiwa jenga pale!
Je makabila mengine wanafanya hivyo,ebu tembelea sehemu zote zenye fursa ya biashara utawakuta wachaga tele, dNAAMINI WACHAGA WENGI NDIYO WALIOIJENGA ARUSHA, DAR, NA HATA HUKO KWENYE MIKOA MINGINE, WANGEKUWA MTU YOYOTE ANIAMBIE NI WAPI AMEENDA AKAKOSA MCHAGA! Ni watafutaji WIVU WEKENI PEMBENI, KWENYE SIASA WAKO TELE,KWENYE ELIMU WAKO TELE, MAMBO YA FEDHA WAKO TELE, KILIMO WAKO TELE, BIASHARA WANAONGOZA, EBU NENDENI WIZARA YA ELIMU KAANGALIE WALIMU! MAPADRI %60 CHAGA! Yani kila kitu.. Nawasifia sana hawa jamaa...nchi hii ingekuwa watu wote ni kama wachaga! Tungekuwa mbali sana
 
Mkuu acha unafiki
Kuna sehemu tanzania utakosa mchaga? kama wangekuwa wanachukiwa wangesurvive?

Mimi ni mhehe na mwenyekiti wangu wa kijiji ni mchaga

Idol wangu kisiasa ni Mchaga (Mrema)

Idol wangu wa polisi ni mchaga (Mahita)

Hii thread ni ya kichochezi na haifai kuachiwa hapa.

Chadema ndio wanaoleta ukabila lakini wachaga sio wakabila

Eti unataka kutuambia Omar Mahita ni mchaga? Wa Kishimundu au Kiboroloni??

Hii ngumu kumesa asee!!
 
umesahau kipato chao kikubwa kinatokana na UJAMBAZI??? Tatizo letu watanzania tunapenda kusifia matokeo kuliko kuangalia chanzo. No wonder hata wazungu wa unga tunawajua na kuwanyenyekea kutokana na fedha zao huku tukilalamika uteja wa watoto wetu. Ni kweli na ni dhahiri kabisa, sifa zote za kishenzi( ujambazi,ufisadi,upendeleo,ukabila, dhulma na kupenda madaraka kulikopitiliza) ni sifa za hawa watu. Nawapa tano WANGONI, they are the best in this

Wivu mwingine huu tena,
Mkuu, wachaga wanajua kujinyima,
wakati wewe una mshahara sawa na wa kwake, kabla mwisho wa mwezi haujafika wewe tayari umeshaumaliza mshahara wako mawazoni,..yeye anawaza pa kuuweka ili uongeze income yake ya mwezi ujao,,au kama akikosa investment ya haraka haraka hela inakaa tu kwenye account..hapo ya kwako umeshahonga, na gari umenunua ya cc 3500, na ulichukulia mkopo kwa hivyo hela yako inavuja tu kila wakati unaingia sheli kumtajirisha mwarabu..wakati mwenzio ameamua kununua vitz ya cc 990 hapo mafuta inanusa tu,,,inayobaki anawekeza...obviously lazima utamwita jambazi baadaye...kalagabaho!
 
Hii sredi hii sijui ni ya ngapi kuhusu wachagga toka JF imeanza
Hmmie, umesahau mti wenye matnda mengi ndio hutupiwa mawe zaidi?

Wakati wao wanachonga sana juu ya wachagga, kina mangi wao wako bize kuzisaka njuruku..... Mwisho wa siku mwenye nacho ataongezewa na asiye nacho hata kile kiduchu alicho nacho atanyang'anywa.
 
Kuna mengi ya kuelezea jinsi ninavyowaona wachaga maisha yao yalivyo laniki niishia hapa kwanza.
Umemaliza mkuu!!acha wacheza ngoma waendelee kupiga kupiga domo,kwao hii ni asili(jadi)hawaachi hata uwafanyaje,wapo kwa ajili ya kutafuta cha kusema,ukifanikiwa wanasema,uki fail pia watasema! Watu wamezoea kuwa maskini,mafanikio kwao ni laana!! Waache wapige domo,endelea kuhudumia wateja wako mangi.
 
"Siwezi kujiunga na CHADEMA kwa kuwa mimi si MCHAGGA" hii ni kauli ya Nape sijua anapata ujasiri wa kwenda Kilimanjaro kujenga CCM?

Tutajitenga na kuanzisha nchi ya kaskazini. Hii ni kauli ya Nassari pindi akiwashukuru wanaarumeru kwa kumchagua.
 
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi kutokana na asili yao.Ila uwepo wa hizi tabia ni wa kukemea sana.

Mambo haya yameonekana hata ktk sera za nchi.Si rafiki sana kw amikoa km kilimanjaro, ila kidogo kinachopatikana ktk ule mkoa kam juhudi za wale watu serikali imekuwa ikijaribu waaminisha raia km vile kuna upendeleo fulani.Wengine wakiwachukuliwa wachaga kama wadhulumu wa watanzania.Wengine wakiwaita wabaguzi, wengine wakisema wasemalo.

Sasa hivi chuki zimefikia kuwanyima haki ya kuingia ktk siasa, kuwanyima kusimama ktk ngazi za juu ktk taasisi.Wamefikia mahali pa kufanya kampeni dhalimu dhidi ya vyama vingine kwa kuvihusisha na wachaga.Ingawa hakuna anayefanyahivyo kwa wasio raisa wa tanzania km wasomali, wahindi, waarabu na hata watu wa nchi jirani.

Kwangu mimi hili jambo naliona limefikia hatua hatari sana na linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote.NI wakati watu pia wakaona juhudi za wachaga, na ufundi wao wa kujitafutia.Itambulike kuwa suala la ubaguzi ni la kila kabila pale wanaposhindwa aminiana.Ingawa kuna makabila mengi tuu ni wabaguzi,ila hawana strategy za mafanikio popote, mara waonapo wingi wa wachaga huchukuliwa kuwa ni undugulization ndio umewafikisha kwa wingi.Ila hawapendi tambua kuwa wachaga hunusa sehemu iwafaayo kwa mafanikio km ilivyo jamii za kihindi.Hata wanyama hujisogeza ktk mazingira yawaafayo kusitawi.

Ni ajabu sana hakuna mtu anayeongelea kuwa ubaguzi na upendeleo wa kabila vyote ni ukabila.Ningependa nipate maelezo ya hao wenye husda.

Hivi we umesoma mpaka la ngapi? Kifikra huwa unawaza nini? Uandishi wako tu, najiuliza huwa unafikiri zaidi ya hapo?
Au unatafuta lejitimasi
 
mchaga hafai kuaminiwa asilani

Mbaya ..wachaga ambao ni effective hawapo Kilimanjaro.Na hivyo kuifanya serikali kushindwa wabana wachaga...experice yangu inaonyesha..Hata hao wanasiasa wenyewe,wanakata matawi waliyosimamia kwani wengi wameolewa na wachaga(waawake+wanaume).Pamoja na mafanikio ya muda mfupi mwishowe wachaga huwa crucial sana ktk survival yao kiuchumi na kimipango.

Hata watafiti wa kijerumani walipokuja waliona kitu tofauti sana kule..walikuwa utamaduni ambao haukuwa sumbua sana kuwapa concept ya "Mungu Moja" na ethics fulani ambzo zina universala values.Pia social bondaje yao ilikuwa na maana sana.

Wachaga wana utamaduni wa kuthamini Nyumbani na mahusiano yao kudumishwa ktk mikusanyiko ambayo watu wengine huidharau ila ni powerful.ktk kuongea na watu ktk mikoa mingi pamoja na kuwachukia wachaga kuna vitu ambvyo mud amfupi huwafanya waone bado wanawahitaji.Wapo waliosema kinachofanya wawapende ni wengine kutotosa "uzao wao","kupenda jishughulisha na kufanikiwa", hawana masifa, na mengine....wengina wakajaribu halalisha chuki zao kwa maneno km wana ukabila,ni wezi, wanadhulumu, etc....ila nilipowauliza km JK na mafisadi ni wachaga?nikauliza wale jamaa waliogeuza UCC kuwa ya kabila moja ni wachaga?Nikawauliza wapi wachaga wametangaza chuki na makabila mengine hadi kila kabila la Tanzania liwachukie ,huku wakitumia huduma zao, kuoana nao na mengine?Majibu yalikuwa shida wengine ,wakaanza kuuliza wewe ni mchani nini?ndio maana..nikamwambia ndio maana nini?Ndio maana yeye akashidwa jibu?
 
sasa hao wanaopiga kampeni hiyo utakuta mkewe nyumbani mchaga ...tukubali tu wachaga wameshika hii nchi mana katika harusi 10 utakuta 6 wanaolewa wachaga na wanaume kutoka makabila tofauti kwangu mimi hizo ni siasa tu ila uhalisia wametushika juzi tu marafiki zangu 6 wanatarajiwa kuoa wameenda kutoa mahari kilimanjaro tena wote sio wachaga...tuache wivu jamani wachaga wanajua kustrugle awe mwanamke au mwanaume ndo mana tunakimbilia kuoa huko huko
Jibu la yote hayo ni rahisi mno. Wenzetu shule kata zilianza zamani mno. Hapa unaona dini zote wanaungana kumpiga vita mchagga. jamani shule, shule hamna njia ya mkato. Iwe kidini au kikabila ni issue hiyohiyo. Maeneo mengine mpaka leo shule wanaona vituo vya polisi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom