utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Undugunisation
Duh, Kuna mchaga mmoja ameoa mwanamke wa kunyumba, basi kila mwezi mchaga anamshinikiza mwanamke amkopee angalau laki 5 kila mwezi. Sasa hivi demu ana madeni kila mahali hadi wanaodai wanasomba makochi,tv, nk. Mchaga ashamruka. Nuksi hawaaa...!
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi kutokana na asili yao.Ila uwepo wa hizi tabia ni wa kukemea sana.
Mambo haya yameonekana hata ktk sera za nchi.Si rafiki sana kw amikoa km kilimanjaro, ila kidogo kinachopatikana ktk ule mkoa kam juhudi za wale watu serikali imekuwa ikijaribu waaminisha raia km vile kuna upendeleo fulani.Wengine wakiwachukuliwa wachaga kama wadhulumu wa watanzania.Wengine wakiwaita wabaguzi, wengine wakisema wasemalo.
Sasa hivi chuki zimefikia kuwanyima haki ya kuingia ktk siasa, kuwanyima kusimama ktk ngazi za juu ktk taasisi.Wamefikia mahali pa kufanya kampeni dhalimu dhidi ya vyama vingine kwa kuvihusisha na wachaga.Ingawa hakuna anayefanyahivyo kwa wasio raisa wa tanzania km wasomali, wahindi, waarabu na hata watu wa nchi jirani.
Kwangu mimi hili jambo naliona limefikia hatua hatari sana na linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote.NI wakati watu pia wakaona juhudi za wachaga, na ufundi wao wa kujitafutia.Itambulike kuwa suala la ubaguzi ni la kila kabila pale wanaposhindwa aminiana.Ingawa kuna makabila mengi tuu ni wabaguzi,ila hawana strategy za mafanikio popote, mara waonapo wingi wa wachaga huchukuliwa kuwa ni undugulization ndio umewafikisha kwa wingi.Ila hawapendi tambua kuwa wachaga hunusa sehemu iwafaayo kwa mafanikio km ilivyo jamii za kihindi.Hata wanyama hujisogeza ktk mazingira yawaafayo kusitawi.
Ni ajabu sana hakuna mtu anayeongelea kuwa ubaguzi na upendeleo wa kabila vyote ni ukabila.Ningependa nipate maelezo ya hao wenye husda.
Wachaga ni balaa hata useme nn! Ni wakabila, mafisadi, wadini, wabinafsi, waroho, wapenda sifa, wezi n.k. Kwahy hapa sio suala la ccm bana, tunaishi nao mtaani tunawajua. Wanavikao vyao vya siri usiku kuhujumu wafanyabiashara wenzao. Huo ndio ukweli haupungiki.

Huwa naona haya hata kwa wahaya ikitokea tu ukasimama mbele za watu hawatakudifine othws ila ww ni mhaya ...mie nafikiri baadhi ya vitu ni mazoea tu japo kuna ishu chache zinazokuwa zinahitaji kweli kujibiwa
Mfano ni hii bajeti iliyopitishwa kuna wizara mbili ya maji baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro yalionekana kupewa pesa nyingi sana kuliko mikoa mingine na wakati tatizo la maji ni la kila mkoa na maji yanahitajika kote,sasa kweli hii haikueleweka kabisa hata mie sikubaliani nalo kabisa
Jambo la pili ni mfano wa bajeti ya elimu mwanzo ilionekana kuna shule 104 mkoa huo zinatakiwa kukarabatiwa ilohali mikoa mingine imepewa shule hazifiki hata 50,katika hili wabunge waliongea sana mpaka wakatoa maneno makali juu ya upendeleo wa hivyo hadi waziri alipokubali kwenda kurekebisha upya mgawanyo kwa kuzingatia usawa wa mikoa,sasa sijuhi ni kwa bahati mbaya ama ni planned?
Kwa mambo kama haya ndo yanayofanya labda watu waongee mambo mengi na katika ukweli ndugu zetu kwa haya mnatakiwa kupunguza upendeleo wa wazi hvyo ili muweze kueleweka katika jamii yetu ya kitanzania ambayo haichelewi kuwaona vinginevyo
Nilisia hawa wameoa Wachaga ni kweli?
Sumaye
Mkapa
Warioba
Salmin Amour 'Komando '
Ni kweli?
Mkuu acha unafiki
Kuna sehemu tanzania utakosa mchaga? kama wangekuwa wanachukiwa wangesurvive?
Mimi ni mhehe na mwenyekiti wangu wa kijiji ni mchaga
Idol wangu kisiasa ni Mchaga (Mrema)
Idol wangu wa polisi ni mchaga (Mahita)
Hii thread ni ya kichochezi na haifai kuachiwa hapa.
Chadema ndio wanaoleta ukabila lakini wachaga sio wakabila
umesahau kipato chao kikubwa kinatokana na UJAMBAZI??? Tatizo letu watanzania tunapenda kusifia matokeo kuliko kuangalia chanzo. No wonder hata wazungu wa unga tunawajua na kuwanyenyekea kutokana na fedha zao huku tukilalamika uteja wa watoto wetu. Ni kweli na ni dhahiri kabisa, sifa zote za kishenzi( ujambazi,ufisadi,upendeleo,ukabila, dhulma na kupenda madaraka kulikopitiliza) ni sifa za hawa watu. Nawapa tano WANGONI, they are the best in this
Hmmie, umesahau mti wenye matnda mengi ndio hutupiwa mawe zaidi?Hii sredi hii sijui ni ya ngapi kuhusu wachagga toka JF imeanza
Umemaliza mkuu!!acha wacheza ngoma waendelee kupiga kupiga domo,kwao hii ni asili(jadi)hawaachi hata uwafanyaje,wapo kwa ajili ya kutafuta cha kusema,ukifanikiwa wanasema,uki fail pia watasema! Watu wamezoea kuwa maskini,mafanikio kwao ni laana!! Waache wapige domo,endelea kuhudumia wateja wako mangi.Kuna mengi ya kuelezea jinsi ninavyowaona wachaga maisha yao yalivyo laniki niishia hapa kwanza.
"Siwezi kujiunga na CHADEMA kwa kuwa mimi si MCHAGGA" hii ni kauli ya Nape sijua anapata ujasiri wa kwenda Kilimanjaro kujenga CCM?
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi kutokana na asili yao.Ila uwepo wa hizi tabia ni wa kukemea sana.
Mambo haya yameonekana hata ktk sera za nchi.Si rafiki sana kw amikoa km kilimanjaro, ila kidogo kinachopatikana ktk ule mkoa kam juhudi za wale watu serikali imekuwa ikijaribu waaminisha raia km vile kuna upendeleo fulani.Wengine wakiwachukuliwa wachaga kama wadhulumu wa watanzania.Wengine wakiwaita wabaguzi, wengine wakisema wasemalo.
Sasa hivi chuki zimefikia kuwanyima haki ya kuingia ktk siasa, kuwanyima kusimama ktk ngazi za juu ktk taasisi.Wamefikia mahali pa kufanya kampeni dhalimu dhidi ya vyama vingine kwa kuvihusisha na wachaga.Ingawa hakuna anayefanyahivyo kwa wasio raisa wa tanzania km wasomali, wahindi, waarabu na hata watu wa nchi jirani.
Kwangu mimi hili jambo naliona limefikia hatua hatari sana na linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote.NI wakati watu pia wakaona juhudi za wachaga, na ufundi wao wa kujitafutia.Itambulike kuwa suala la ubaguzi ni la kila kabila pale wanaposhindwa aminiana.Ingawa kuna makabila mengi tuu ni wabaguzi,ila hawana strategy za mafanikio popote, mara waonapo wingi wa wachaga huchukuliwa kuwa ni undugulization ndio umewafikisha kwa wingi.Ila hawapendi tambua kuwa wachaga hunusa sehemu iwafaayo kwa mafanikio km ilivyo jamii za kihindi.Hata wanyama hujisogeza ktk mazingira yawaafayo kusitawi.
Ni ajabu sana hakuna mtu anayeongelea kuwa ubaguzi na upendeleo wa kabila vyote ni ukabila.Ningependa nipate maelezo ya hao wenye husda.
Ujambazi upi?Kila kabila lina ujambazi.
Fisadi ni jambazi pia(wenye hella Uswisi,Dentist wa Tembo,ma crooks wa EPA ,Meremeta & Richmond wote ni majambazi pia
mchaga hafai kuaminiwa asilani
Jibu la yote hayo ni rahisi mno. Wenzetu shule kata zilianza zamani mno. Hapa unaona dini zote wanaungana kumpiga vita mchagga. jamani shule, shule hamna njia ya mkato. Iwe kidini au kikabila ni issue hiyohiyo. Maeneo mengine mpaka leo shule wanaona vituo vya polisisasa hao wanaopiga kampeni hiyo utakuta mkewe nyumbani mchaga ...tukubali tu wachaga wameshika hii nchi mana katika harusi 10 utakuta 6 wanaolewa wachaga na wanaume kutoka makabila tofauti kwangu mimi hizo ni siasa tu ila uhalisia wametushika juzi tu marafiki zangu 6 wanatarajiwa kuoa wameenda kutoa mahari kilimanjaro tena wote sio wachaga...tuache wivu jamani wachaga wanajua kustrugle awe mwanamke au mwanaume ndo mana tunakimbilia kuoa huko huko