Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

Status
Not open for further replies.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi kutokana na asili yao.Ila uwepo wa hizi tabia ni wa kukemea sana.

Mambo haya yameonekana hata ktk sera za nchi.Si rafiki sana kw amikoa km kilimanjaro, ila kidogo kinachopatikana ktk ule mkoa kam juhudi za wale watu serikali imekuwa ikijaribu waaminisha raia km vile kuna upendeleo fulani.Wengine wakiwachukuliwa wachaga kama wadhulumu wa watanzania.Wengine wakiwaita wabaguzi, wengine wakisema wasemalo.

Sasa hivi chuki zimefikia kuwanyima haki ya kuingia ktk siasa, kuwanyima kusimama ktk ngazi za juu ktk taasisi.Wamefikia mahali pa kufanya kampeni dhalimu dhidi ya vyama vingine kwa kuvihusisha na wachaga.Ingawa hakuna anayefanyahivyo kwa wasio raisa wa tanzania km wasomali, wahindi, waarabu na hata watu wa nchi jirani.

Kwangu mimi hili jambo naliona limefikia hatua hatari sana na linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote.NI wakati watu pia wakaona juhudi za wachaga, na ufundi wao wa kujitafutia.Itambulike kuwa suala la ubaguzi ni la kila kabila pale wanaposhindwa aminiana.Ingawa kuna makabila mengi tuu ni wabaguzi,ila hawana strategy za mafanikio popote, mara waonapo wingi wa wachaga huchukuliwa kuwa ni undugulization ndio umewafikisha kwa wingi.Ila hawapendi tambua kuwa wachaga hunusa sehemu iwafaayo kwa mafanikio km ilivyo jamii za kihindi.Hata wanyama hujisogeza ktk mazingira yawaafayo kusitawi.

Ni ajabu sana hakuna mtu anayeongelea kuwa ubaguzi na upendeleo wa kabila vyote ni ukabila.Ningependa nipate maelezo ya hao wenye husda.
 
Hiz chuki za baadhi ya watu dhid ya wachagga ndo zinanipa hasira ya kufanya kazi kwa bidii zaidi.... Bt for sure this prejudice isnt carrying any worth for the country's peace!
 
sasa hao wanaopiga kampeni hiyo utakuta mkewe nyumbani mchaga ...tukubali tu wachaga wameshika hii nchi mana katika harusi 10 utakuta 6 wanaolewa wachaga na wanaume kutoka makabila tofauti kwangu mimi hizo ni siasa tu ila uhalisia wametushika juzi tu marafiki zangu 6 wanatarajiwa kuoa wameenda kutoa mahari kilimanjaro tena wote sio wachaga...tuache wivu jamani wachaga wanajua kustrugle awe mwanamke au mwanaume ndo mana tunakimbilia kuoa huko huko
 
Duh, Kuna mchaga mmoja ameoa mwanamke wa kunyumba, basi kila mwezi mchaga anamshinikiza mwanamke amkopee angalau laki 5 kila mwezi. Sasa hivi demu ana madeni kila mahali hadi wanaodai wanasomba makochi,tv, nk. Mchaga ashamruka. Nuksi hawaaa...!
 
"Siwezi kujiunga na CHADEMA kwa kuwa mimi si MCHAGGA" hii ni kauli ya Nape sijua anapata ujasiri wa kwenda Kilimanjaro kujenga CCM?
hzi ndyo siasa za ccm za kujenga chuki wanafuta mpenyo upo sehemu ipi.ila kitaeleweka tuu
 
Huwa naona haya hata kwa wahaya ikitokea tu ukasimama mbele za watu hawatakudifine othws ila ww ni mhaya ...mie nafikiri baadhi ya vitu ni mazoea tu japo kuna ishu chache zinazokuwa zinahitaji kweli kujibiwa

Mfano ni hii bajeti iliyopitishwa kuna wizara mbili ya maji baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro yalionekana kupewa pesa nyingi sana kuliko mikoa mingine na wakati tatizo la maji ni la kila mkoa na maji yanahitajika kote,sasa kweli hii haikueleweka kabisa hata mie sikubaliani nalo kabisa

Jambo la pili ni mfano wa bajeti ya elimu mwanzo ilionekana kuna shule 104 mkoa huo zinatakiwa kukarabatiwa ilohali mikoa mingine imepewa shule hazifiki hata 50,katika hili wabunge waliongea sana mpaka wakatoa maneno makali juu ya upendeleo wa hivyo hadi waziri alipokubali kwenda kurekebisha upya mgawanyo kwa kuzingatia usawa wa mikoa,sasa sijuhi ni kwa bahati mbaya ama ni planned?

Kwa mambo kama haya ndo yanayofanya labda watu waongee mambo mengi na katika ukweli ndugu zetu kwa haya mnatakiwa kupunguza upendeleo wa wazi hvyo ili muweze kueleweka katika jamii yetu ya kitanzania ambayo haichelewi kuwaona vinginevyo
 
sasa hao wanaopiga kampeni hiyo utakuta mkewe nyumbani mchaga ...tukubali tu wachaga wameshika hii nchi mana katika harusi 10 utakuta 6 wanaolewa wachaga na wanaume kutoka makabila tofauti kwangu mimi hizo ni siasa tu ila uhalisia wametushika juzi tu marafiki zangu 6 wanatarajiwa kuoa wameenda kutoa mahari kilimanjaro tena wote sio wachaga...tuache wivu jamani wachaga wanajua kustrugle awe mwanamke au mwanaume ndo mana tunakimbilia kuoa huko huko

Nilisia hawa wameoa Wachaga ni kweli?

Sumaye
Mkapa
Warioba
Salmin Amour 'Komando '

Ni kweli?
 
Wachaga ni balaa hata useme nn! Ni wakabila, mafisadi, wadini, wabinafsi, waroho, wapenda sifa, wezi n.k. Kwahy hapa sio suala la ccm bana, tunaishi nao mtaani tunawajua. Wanavikao vyao vya siri usiku kuhujumu wafanyabiashara wenzao. Huo ndio ukweli haupungiki.
 
Kama kabila langu kubwa lingekuwa na mantiki ya Wachaga ,nchi hii ingekomboleka zamani.

Nilisoma O-level mkoani Kilimanjaro.Nilistuka kuona majumba makubwa migombani,kwa mara ya kwanza niliona TV Moshi.
Mchaga popote alipo iwe Musoma ,Mtwara atajenga nyumba nzuri tuu.

Tusiwaonee wivu,wao na Wahaya walipata shule mapema.
 
Huwa naona haya hata kwa wahaya ikitokea tu ukasimama mbele za watu hawatakudifine othws ila ww ni mhaya ...mie nafikiri baadhi ya vitu ni mazoea tu japo kuna ishu chache zinazokuwa zinahitaji kweli kujibiwa

Mfano ni hii bajeti iliyopitishwa kuna wizara mbili ya maji baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro yalionekana kupewa pesa nyingi sana kuliko mikoa mingine na wakati tatizo la maji ni la kila mkoa na maji yanahitajika kote,sasa kweli hii haikueleweka kabisa hata mie sikubaliani nalo kabisa

Jambo la pili ni mfano wa bajeti ya elimu mwanzo ilionekana kuna shule 104 mkoa huo zinatakiwa kukarabatiwa ilohali mikoa mingine imepewa shule hazifiki hata 50,katika hili wabunge waliongea sana mpaka wakatoa maneno makali juu ya upendeleo wa hivyo hadi waziri alipokubali kwenda kurekebisha upya mgawanyo kwa kuzingatia usawa wa mikoa,sasa sijuhi ni kwa bahati mbaya ama ni planned?

Kwa mambo kama haya ndo yanayofanya labda watu waongee mambo mengi na katika ukweli ndugu zetu kwa haya mnatakiwa kupunguza upendeleo wa wazi hvyo ili muweze kueleweka katika jamii yetu ya kitanzania ambayo haichelewi kuwaona vinginevyo
Mkuu wangu, sasa kama Kilimanjaro zinakarabatiwa shule 104 kati ya shule 300 na mkoa mwingine zikakarabatiwa 50 kati ya shule 80 kuna ubaya au upendeleo gani hapo? Bahati nzuri sana waziri na makamu wake wote si wa mkoa huo. Anyway, mti wenye matunda mengi ndio unaorushiwa mawe mengi zaidi.....
 
Wachaga ni balaa hata useme nn! Ni wakabila, mafisadi, wadini, wabinafsi, waroho, wapenda sifa, wezi n.k. Kwahy hapa sio suala la ccm bana, tunaishi nao mtaani tunawajua. Wanavikao vyao vya siri usiku kuhujumu wafanyabiashara wenzao. Huo ndio ukweli haupungiki.
---- at its best!! Waliowakataza wengine kukutana na kupanga mambo yao ni nani?? Wee kaa chini bwabwaja tu wenzako wanapiga kazi wanachanga fedha.....

Aliyenacho ataongezewa, asiye nacho hata kile kidogo alicho nacho atanyang'anywa. Source: Jesus Christ. Nadhani Yesu aliona mbali sana kugundua watu wenye "wivu wa kike" (Source: B W Mkapa).

CC: Filipo. Bigirita
 
Last edited by a moderator:
Watanzania siku hizi tumekuwa watu wa hovyo sana,hatufanyi tafiti kujua huyu kafanikiwa kwa nini,nifanye nini ili na mimi nifanikiwe km yeye au zaidi yake badala yake tunatafuta data zetu kijiweni na kuanza kuwaonea wengine gere,km wachaga wamefanikiwa kwa juhudi na maarifa yao wapongezwe na sio kubezwa kila uchao,tuache siasa za udini,ukanda na ukabila cuz zitaliacha taifa hili vipande vipande.
 
Niliwahi fanya reseach ndogo upande wa wa CHAGA SIKUWAHI KUON HUKO NYUMBA YA NYASI..JAMAA NI VITOFA TU UKIINGIA HUKO MIGOMBANI KWENTE NDIZI UTASHANGAA!WAMEPIGA HATUA SANA..UTAKUTA ANAKAA MJINI LAKINI NYUMBANI AMEACHA BONGE LA JUMBA LIKIKAA MFANYAKAZI TU!
Kama kabila langu kubwa lingekuwa na mantiki ya Wachaga ,nchi hii ingekomboleka zamani.

Nilisoma O-level mkoani Kilimanjaro.Nilistuka kuona majumba makubwa migombani,kwa mara ya kwanza niliona TV Moshi.
Mchaga popote alipo iwe Musoma ,Mtwara atajenga nyumba nzuri tuu.

Tusiwaonee wivu,wao na Wahaya walipata shule mapema.
 
Kama kabila langu kubwa lingekuwa na mantiki ya Wachaga ,nchi hii ingekomboleka zamani.

Nilisoma O-level mkoani Kilimanjaro.Nilistuka kuona majumba makubwa migombani,kwa mara ya kwanza niliona TV Moshi.
Mchaga popote alipo iwe Musoma ,Mtwara atajenga nyumba nzuri tuu.

Tusiwaonee wivu,wao na Wahaya w,alipata shule mapema.
umesahau kipato chao kikubwa kinatokana na UJAMBAZI??? Tatizo letu watanzania tunapenda kusifia matokeo kuliko kuangalia chanzo. No wonder hata wazungu wa unga tunawajua na kuwanyenyekea kutokana na fedha zao huku tukilalamika uteja wa watoto wetu. Ni kweli na ni dhahiri kabisa, sifa zote za kishenzi( ujambazi,ufisadi,upendeleo,ukabila, dhulma na kupenda madaraka kulikopitiliza) ni sifa za hawa watu. Nawapa tano WANGONI, they are the best in this
 
ni nani asiyepafahamu dukani kwa Mangi, Bwashee, au Masawe hao ndo watu wenye maduka mengi kila kona, kila mtaa, nenda vyuoni kati ya watu 10 wanne wanatoka Kilimanjaro (mpare+mchaga) unatarajia nini baada ya miaka 5, maofisini
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom