Chuki dhidi ya wachaga zimefikia pabaya sana. Wenye husda, wapi mmedhulumiwa?

Status
Not open for further replies.
nyie pigen me mchaga mshua anakampun na nkimaliza ka degree kangu ka ualimu naenda fanya kaz bila aplicatin tena kwa hao waking unaowasema viva chaga tena kwa maneno haya makabila memgene ndo mnajharibia bora mnya maze
 
Wachaga ni balaa hata useme nn! Ni wakabila, mafisadi, wadini, wabinafsi, waroho, wapenda sifa, wezi n.k. Kwahy hapa sio suala la ccm bana, tunaishi nao mtaani tunawajua. Wanavikao vyao vya siri usiku kuhujumu wafanyabiashara wenzao. Huo ndio ukweli haupungiki.
wewe ni sawa na msukule huna tofauti na shetani kwa kusema wenzio hujioni mwenyewe na ujinga wako
 
I wonder if Pasco anafahamu kuwa dar km hapakuja wageni wazaramo wasingefika ubungo ktk makazi.Kwani wasingekaa waone sababau ya kukaa mbali na bahari.So wakipewa mbunge wa Ubungo asiye wao si kitu cha ajabu hata kwao.Kwanza hata hawaoni km yupo ktk nchia yao.
 
Wachaga nawakubali sana kwenye pesa hawana mchezo. Nilikuwa na kazi yangu nikatafuta mtu wa kuifanya (sio mchaga) ilikuwa ijumaa na kazi inatakiwa j3. Jamaa akaniambia weekend hafanyi hadi j3. Nikapewa jamaa mwingine (mchaga) nikampigia simu kumbe alikuwa safari na alikuwa anarudi jmoc. Jamaa akaniambia akifika tu atanitafuta hata kama ni usiku nikamwambia nahitaji kazi by j3 iwe tayari akasema haina shida.
Jamaa alinitafuta jmoc usiku baada ya kurudi safari nikampa kazi akaenda kuifanya kwa usiku mzima hadi j2. Kufika j3 asubuhi jamaa mchaga kaniletea kazi yangu ikiwa ok nikamlipa chake 500000 cash.
Mpaka hapo hawa jamaa nimewavulia kofia aisee
 
Mchaga anawaza Dec ijayo asiende tena na Kluger Machame bali apige pesa next Dec akwende na VX...

Note:
They want improvement each year, kipimo ni Dec Migombani!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi kutokana na asili yao.Ila uwepo wa hizi tabia ni wa kukemea sana.

Mambo haya yameonekana hata ktk sera za nchi.Si rafiki sana kw amikoa km kilimanjaro, ila kidogo kinachopatikana ktk ule mkoa kam juhudi za wale watu serikali imekuwa ikijaribu waaminisha raia km vile kuna upendeleo fulani.Wengine wakiwachukuliwa wachaga kama wadhulumu wa watanzania.Wengine wakiwaita wabaguzi, wengine wakisema wasemalo.

Sasa hivi chuki zimefikia kuwanyima haki ya kuingia ktk siasa, kuwanyima kusimama ktk ngazi za juu ktk taasisi.Wamefikia mahali pa kufanya kampeni dhalimu dhidi ya vyama vingine kwa kuvihusisha na wachaga.Ingawa hakuna anayefanyahivyo kwa wasio raisa wa tanzania km wasomali, wahindi, waarabu na hata watu wa nchi jirani.

Kwangu mimi hili jambo naliona limefikia hatua hatari sana na linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote.NI wakati watu pia wakaona juhudi za wachaga, na ufundi wao wa kujitafutia.Itambulike kuwa suala la ubaguzi ni la kila kabila pale wanaposhindwa aminiana.Ingawa kuna makabila mengi tuu ni wabaguzi,ila hawana strategy za mafanikio popote, mara waonapo wingi wa wachaga huchukuliwa kuwa ni undugulization ndio umewafikisha kwa wingi.Ila hawapendi tambua kuwa wachaga hunusa sehemu iwafaayo kwa mafanikio km ilivyo jamii za kihindi.Hata wanyama hujisogeza ktk mazingira yawaafayo kusitawi.

Ni ajabu sana hakuna mtu anayeongelea kuwa ubaguzi na upendeleo wa kabila vyote ni ukabila.Ningependa nipate maelezo ya hao wenye husda.
Yote haya yanaeeza kuisha endapo mtamshauri Mbowe akubali kununulika kwa gharama aitakayo.
Endapo atachelewa sheria ikipita kutakuwa hamna namna atanyakuliwa kirahisi.
 
Haya sasa yanaanza kutimia. Mwalimu Nyerere aliwaambia kuwa "mkisha sambaratisha kuwa hawa wabara sisi wazanzibara mtahamia sisi waunguja, wapemba, wasukuma, wahaya, wachagga n.k". Sasa tumeanza kuhama kwenye misingi yetu ya utanzania tunaelekea kwenye ukabila. Tunahama kwenye uzalendo tunajikita kwenye vyama. Sisi ni watanzania tumelelewa kwenye misingi ya umoja ambapo tunaoa au kuolewa toka kabila lolote kwa vile tunaamini sisi ni wamoja. Sasa huku kuanza kujiona kabila fulani ni bora kuliko jingine kunatoka wapi tuache ubinafsi. Hata iweje hatuwezi lingana lakini tusidharauliane. Anayeona anafaa zaidi amtumikie mwenzie ili naye afikie mahali pa kufaa.
Watanzania siku hizi tumekuwa watu wa hovyo sana,hatufanyi tafiti kujua huyu kafanikiwa kwa nini,nifanye nini ili na mimi nifanikiwe km yeye au zaidi yake badala yake tunatafuta data zetu kijiweni na kuanza kuwaonea wengine gere,km wachaga wamefanikiwa kwa juhudi na maarifa yao wapongezwe na sio kubezwa kila uchao,tuache siasa za udini,ukanda na ukabila cuz zitaliacha taifa hili vipande vipande.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga ni balaa hata useme nn! Ni wakabila, mafisadi, wadini, wabinafsi, waroho, wapenda sifa, wezi n.k. Kwahy hapa sio suala la ccm bana, tunaishi nao mtaani tunawajua. Wanavikao vyao vya siri usiku kuhujumu wafanyabiashara wenzao. Huo ndio ukweli haupungiki.
Sana tena hili kabila lilihujumu hadi harakati za Mwalimu na Tanu katika kutafuta uhuru hawaatu ni wa kuwa nao makini sana
 
Wanabodi tuongelee hili suala ambalo zi rafikis ana kwa amani ya nchi na maendeleo ya nchi na ubaguzi kwa wachaga.Ni wazi in practice haiwezekana watu kuwafanikiwa dhidi ya wachaga ktk mambo mengi kutokana na asili yao.Ila uwepo wa hizi tabia ni wa kukemea sana.

Mambo haya yameonekana hata ktk sera za nchi.Si rafiki sana kw amikoa km kilimanjaro, ila kidogo kinachopatikana ktk ule mkoa kam juhudi za wale watu serikali imekuwa ikijaribu waaminisha raia km vile kuna upendeleo fulani.Wengine wakiwachukuliwa wachaga kama wadhulumu wa watanzania.Wengine wakiwaita wabaguzi, wengine wakisema wasemalo.

Sasa hivi chuki zimefikia kuwanyima haki ya kuingia ktk siasa, kuwanyima kusimama ktk ngazi za juu ktk taasisi.Wamefikia mahali pa kufanya kampeni dhalimu dhidi ya vyama vingine kwa kuvihusisha na wachaga.Ingawa hakuna anayefanyahivyo kwa wasio raisa wa tanzania km wasomali, wahindi, waarabu na hata watu wa nchi jirani.

Kwangu mimi hili jambo naliona limefikia hatua hatari sana na linahitaji kufanyiwa kazi na wadau wote.NI wakati watu pia wakaona juhudi za wachaga, na ufundi wao wa kujitafutia.Itambulike kuwa suala la ubaguzi ni la kila kabila pale wanaposhindwa aminiana.Ingawa kuna makabila mengi tuu ni wabaguzi,ila hawana strategy za mafanikio popote, mara waonapo wingi wa wachaga huchukuliwa kuwa ni undugulization ndio umewafikisha kwa wingi.Ila hawapendi tambua kuwa wachaga hunusa sehemu iwafaayo kwa mafanikio km ilivyo jamii za kihindi.Hata wanyama hujisogeza ktk mazingira yawaafayo kusitawi.

Ni ajabu sana hakuna mtu anayeongelea kuwa ubaguzi na upendeleo wa kabila vyote ni ukabila.Ningependa nipate maelezo ya hao wenye husda.
Huwezi hata kuandika vizuri. Mtanzania kweli wewe?
 
Wachaga nawakubali sana kwenye pesa hawana mchezo. Nilikuwa na kazi yangu nikatafuta mtu wa kuifanya (sio mchaga) ilikuwa ijumaa na kazi inatakiwa j3. Jamaa akaniambia weekend hafanyi hadi j3. Nikapewa jamaa mwingine (mchaga) nikampigia simu kumbe alikuwa safari na alikuwa anarudi jmoc. Jamaa akaniambia akifika tu atanitafuta hata kama ni usiku nikamwambia nahitaji kazi by j3 iwe tayari akasema haina shida.
Jamaa alinitafuta jmoc usiku baada ya kurudi safari nikampa kazi akaenda kuifanya kwa usiku mzima hadi j2. Kufika j3 asubuhi jamaa mchaga kaniletea kazi yangu ikiwa ok nikamlipa chake 500000 cash.
Mpaka hapo hawa jamaa nimewavulia kofia aisee
Kwa kazi nawaaminia balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom