Chuki dhidi ya Marekani haitabadilisha tukio la kuawa kwa Osama.

Stevemike

Senior Member
Mar 12, 2011
117
15
Nilichogundua hapa kwa wasioamini kuawa kwa Osama ni chuki dhidi Marekani. Nawashauri wangelaumu tu kwa nini kauawa au kaonewa labda, na sio kupinga kuwa hajafa! Hiyo haitabadilisha ukweli juu ya kifo chake! Sababu wanayoing'ang'ania ya mwili kutokuonekana haitoshi. Haiwezekani US kutangaza kuawa kwa osama huku wakijua ni mzima na anaweza kujitokeza tena. Aibu hiyo wataipeleka wapi? Think twice before U speak!
 
chuki dhidi ya marekani ni mojawapo ya sababu zao. ingine ni udini, wanamwona osama kama holy warrior ambaye hawezi shindwa na binadamu tena makafiri wamarekani
 
jana niliangalia reaction za watu duniani kulingana na kifo chake nilichoona ni kwamba huku pakistan kuna watu waliandamana kupinga kuuawa kwa osama bin laden na walikuwa na reasons nzuri tu .me kwa upande wangu sidhani kuwa kuuawa kwa osama ni kumaliza ugaidi bali kwa njia moja au nyingine kutachochea wafuasi wake nadhani kilicho bora ni kwa marekani kuchange their own foreign policy ili kuweza kuisi bila hofu
 
chuki dhidi ya marekani ni mojawapo ya sababu zao. ingine ni udini, wanamwona osama kama holy warrior ambaye hawezi shindwa na binadamu tena makafiri wamarekani

na ndiyo maana kafungwa mavyuma mazito na kutoswa baharini ili kusiwe na kumbukumbu hata kidogo in the future. watu wasije tembelea hata kaburi lake. us noma.
 
jana niliangalia reaction za watu duniani kulingana na kifo chake nilichoona ni kwamba huku pakistan kuna watu waliandamana kupinga kuuawa kwa osama bin laden na walikuwa na reasons nzuri tu .me kwa upande wangu sidhani kuwa kuuawa kwa osama ni kumaliza ugaidi bali kwa njia moja au nyingine kutachochea wafuasi wake nadhani kilicho bora ni kwa marekani kuchange their own foreign policy ili kuweza kuisi bila hofu

Yes! Mob. I think you are right. Mimi nadhani tuzungumuzie tu sababu za kuawa kwa Osama. Tukosoe tu foreign policy ya US, lakini si kupinga kuwa hakufa, eti ni mbinu tu ya US kulaghai dunia. Is this making sence! Mob u are a great thinker!
 
Back
Top Bottom