Chuki dhidi ya damu ya kunguni Ndugai ndiyo kiini cha sakata la CAG

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,214
5,940
Sioni msingi wa mgogoro kati ya Bunge likiongozwa na spika wake na CAG isipokuwa chuki dhidi ya mwenye damu ya kunguni Ndugae. Msingi wa chuki unaweza kuwa ni namna anavyoshughulika na nidhamu ya wabunge hasa akina LEMA et al. Ngugae amukuwa kama Rais Trump kila afanyalo linamajibu hata kabla halijafika mwisho. kwa maoni yangu:-
  • chanzo cha sakata hili ni CAG kudharilisha haiba ya bunge;
  • pamoja na kelele zote utendaji wa CAG haujaathiriwa na sakata hili;
  • sote kwa kukosa hekima tumepoteza mda wa maana kuhangaika na jambo lisilo na tija
 
Kwani huyo Lema yuko ofisi ya CAG?!
 
SOTE tena?
Au huyo anaelikazania na kushindwa kulala
But who cares anyway

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Sioni msingi wa mgogoro kati ya Bunge likiongozwa na spika wake na CAG isipokuwa chuki dhidi ya mwenye damu ya kunguni Ndugae. Msingi wa chuki unaweza kuwa ni namna anavyoshughulika na nidhamu ya wabunge hasa akina LEMA et al. Ngugae amukuwa kama Rais Trump kila afanyalo linamajibu hata kabla halijafika mwisho. kwa maoni yangu:-
  • chanzo cha sakata hili ni CAG kudharilisha haiba ya bunge;
  • pamoja na kelele zote utendaji wa CAG haujaathiriwa na sakata hili;
  • sote kwa kukosa hekima tumepoteza mda wa maana kuhangaika na jambo lisilo na tija
Nilisema awali nyuzi nyingi za kumshambulia Ndugai personal ni hatua za kinidhamu anazochukua dhidi ya wabunge watovu wa nidhamu bungeni,
Issue ya bunge na Cag sio big deal ni serikali ya ccm na viongozi wake watakao limaliza ,maadam ripoti imetoka na imepokelewa,sasa nashangaa nyuzi za kum-attack binafsi,anyway ngoja tuone mwisho wake
 
Sioni msingi wa mgogoro kati ya Bunge likiongozwa na spika wake na CAG isipokuwa chuki dhidi ya mwenye damu ya kunguni Ndugae. Msingi wa chuki unaweza kuwa ni namna anavyoshughulika na nidhamu ya wabunge hasa akina LEMA et al. Ngugae amukuwa kama Rais Trump kila afanyalo linamajibu hata kabla halijafika mwisho. kwa maoni yangu:-
  • chanzo cha sakata hili ni CAG kudharilisha haiba ya bunge;
  • pamoja na kelele zote utendaji wa CAG haujaathiriwa na sakata hili;
  • sote kwa kukosa hekima tumepoteza mda wa maana kuhangaika na jambo lisilo na tija
Hatuwalaumu,mnavutia chooni.
tapatalk_1555015339659.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom