Chuja sana maneno yako katika migahawa ya mi-mama/mi-bibi ya siku nyingi

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Kuna migahawa ya wa mama watu wazima kabisa namaanisha ni migahawa ya siku nyingi na pamoja na changamoto zozote yenyewe huendelea kuwepo tu tena katika mazingira yaleyale ya ki muonekano wa kizamani hakika chunga sana ni (vijiwe).

Tena muda mwingi hutembelewa na watu maarufu wa eneo husika chunga sana nakuonya!

mifano ni mingi....

Sumbawanga mjini kijiwe maarufu cha kande....

Kibaya mjini maeneo ya karibu na Hospital....

Hatari!
 
Hivi mkuu unapoandika mimama na mibibi unatambua Kama hao ni mama za watu na ni bibi za watu?

Tujifunze kuheshimu wengine aisee.
 
Back
Top Bottom