Chuchu zinauma sana, nifanyaje?

Gloryb

Member
Nov 16, 2013
21
12
Naomba mnisaidie nifanye nini ili chuchu zisiume.
nina mtoto mchanga wa wiki moja nilijifungua kwa operation, sasa nilipojifungua maziwa yalikuwa sio mengi, mwanangu akawa ananyonya hivyo hivyo hali hii imepelekea chuchu kuuma. yaani zinauma sana hadi huwa nawaza sana ninapotaka kumnyonyesha.
Naombeni mnijuze nitumie nin chuchu zangu zipone?
 
naomba mnisaidie nifanye nin ili chuchu zisiume.
nina mtoto mchanga wa wiki moja nilijifungua kwa operation, sasa nilipojifungua maziwa yalikuwa sio mengi, mwanangu akawa ananyonya hivyo hivyo hali hii imepelekea chuchu kuuma. yaani zinauma sana hadi huwa nawaza sana ninapotaka kumnyonyesha.
naomben mnijuze nitumie nin chuchu zangu zipone?

Kanda maziwa na maji ya uvuguuvugu.inaonyesha njia mirija haijafunguka vyema.mnyonyeshe mtoto mara kwa mara ili mirija ifunguke na tatizo kwisha.
 
Tafuta avent nipple cream kama umepata michubuko inapona upesi siku mbili ikizidi sana. cha muhimu kula balanced diet maziwa yapatikane ya kutosha mtoto asivute chuchu. pole sana lakini bst
 
Last edited by a moderator:
naomba mnisaidie nifanye nin ili chuchu zisiume.
nina mtoto mchanga wa wiki moja nilijifungua kwa operation, sasa nilipojifungua maziwa yalikuwa sio mengi, mwanangu akawa ananyonya hivyo hivyo hali hii imepelekea chuchu kuuma. yaani zinauma sana hadi huwa nawaza sana ninapotaka kumnyonyesha.
naomben mnijuze nitumie nin chuchu zangu zipone?

Pole sana, ila nikawaida hata dada yangu ilikumta kama hivo.. chukua biringanya chemsha unywe maji yake yakiwa bado yamoto, maziwa yatatoka vizuri na usiogope kumnyonyesha mtoto kila unapomnyonyesha ndo unapopata nafuu.
 
Kila unapompa mtoto anyonye ndo nafuu yako. Weka ktk kikombe subiri ipate vuguvugu. kwakua umesema umezaa kwa kisu ngoja ipate vuguvugu unywe itatoa maziwa mengi.. pole
 
Hiyo ni hali ya kawaida unatakiwa kuendelea kinyonyesha zitapoa.wengine wanatoka mpaka vidonda na vinapona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom