Naomba mnisaidie nifanye nini ili chuchu zisiume.
nina mtoto mchanga wa wiki moja nilijifungua kwa operation, sasa nilipojifungua maziwa yalikuwa sio mengi, mwanangu akawa ananyonya hivyo hivyo hali hii imepelekea chuchu kuuma. yaani zinauma sana hadi huwa nawaza sana ninapotaka kumnyonyesha.
Naombeni mnijuze nitumie nin chuchu zangu zipone?