nenda kawaone wataalam wa afya mkuu acha kuchelewa
Wana jf, hbr ya asbh. Aisee mchumba wangu kuna kipindi anaumwa chuchu zake, na hii imeanza tangu mwaka jana. Naomba msaada wenu ili nijue nn kisababishi na kama inaweza kutibika.
we ataka nyonyo mama atak?achuchu ake auma?
kuna siku fulan karibu na kuingia NASA sjui NAS uwa kuna maumivu kdg kwenye izo eneo za chuchu...ni hormone znafanyaje sjui lakin znauma then afta 2-3 days znaachia
sasa wa uyo mwanzo mwisho maumivu ahh babu mpeleke hosptal
tena haraka..
km nakuona vile mwenyewe unavyonyaga na masharubu yako...POLE.HOSPTAL IS BEST 4U....
Waone Mewata. Au uache kuzinyonya maana vijana m-wakali sana-mbwembwe nyingi (just a joke). Waone Mewata haraka.
Hapana dada Rose, hzo chuchu zake haziumi mara kwa mara ila inatokea kama siku mbili tatu afu anakuwa shwari. Alafu kuhusu kuzinyonya hyo si kweli make huu ni mwaka wa pili katika uchumba lakini hatujakutana kimwili. Tunaziheshimu sana mila kwani tumepanga kurudisha shuka lisilokuwa na uchakachuaji wowote.
Most women develop breast pain at some stage in life. In most cases the pain develops in the days just before a period. In some cases the pain is not related to periods. The pain is often mild but in some women it is more severe and can affect the quality of your life. Treatment options include painkillers and topical (rub-on) anti-inflammatory drugs. |
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri. Ss tuko huku mikoani, sasa sina uhakika kama mewata wako mpaka huku mikoani. Mwenye taharifa ya uwepo wao mkoani kagera naomba anijuze na ikiwezekana naomba na physical address yao.
Google njelekela au Mewata, utapata contacts zao na unaweza kuongea nao wakakupa the way out. Fanya hima maana maziwa yanatia mashaka na cancer-usiogope tunachukua tahadhali na wala sio kuwa ana cancer. Nshulila aba Bukoba