Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

Ahahaaaa! Great thinkers bana. Ndo maana nawakubali sana. Mpeleke mgonjwa wako hospital mkuu.
Huyu mwakasege mwenyewe semina zake hadi ulipie kiingilio. Style mpya tu ameamua kuwa mgombea binafsi afungamani na upande wowpte. Sttategies bana.
We Unadhani we are not great thinkers kwa sababu hukubaliani na sisi ?
Soma posts zote humu katika thread hii uone who is great thinker?
 
NAPENDA KUWAKUMBUSHA WATU WOTE KUWA
ILE SEMINA YA NENO LA MUNGU YA MWALIMU MWAKASEGE
IMEANZA LEO tarehe 7 PALE BIAFRA NA ITAKWENDA MPAKA tarehe 14 March.
Asanteni sana.
 
Mwalimu Mwakasege is good in preaching jamani. Mimi ananibariki sana. Star TV imetuwezesha sisi wa huku mbali kuweza kuona mahubiri yake toka viwanja vya Biafra. I hope tutabarikiwa sana.
 
Christopher Mwakasege ni Mhubiri, hana kanisa analoongoza yeye, yeye pia ni muumini wa makanisa ya kikristo kama watu wengine.
Anazunguka Tanzania nzima na nje kufundisha Neno la Mungu.
Ana huduma inaitwa Mana, ina makao yake makuu Arusha.
Proffessionally C. Mwakasege in Mchumi na still anaendelea na kazi kama mchumi, but most of his time amededicate kwenye huduma ya Mana.
Hope umemfahamu kwa kiasi.
 
thank youu
 
Mwalimu mwakasege sasa hivi yuko viwanja vya biafra kinondoni kwa wiki moja mimi jana nilikwenda na nimebalikiwa sana sasa na wewe haujachewa ndenda sasa buna ni bado sana na utapata baraka nyingi na za kutosha.

Kama uko dar tafadhali nenda kamuone sasa
 
Ahahaaaa! Great thinkers bana. Ndo maana nawakubali sana. Mpeleke mgonjwa wako hospital mkuu.
Huyu mwakasege mwenyewe semina zake hadi ulipie kiingilio. Style mpya tu ameamua kuwa mgombea binafsi afungamani na upande wowpte. Sttategies bana.

Hebu fafanua vizuri, lini na wapi Mwakasege amesema ulipe kiingilio. This week ana semina pale Biafra, unataka kuniambia kuwa viwanja vya Biafra watu wanalipa kiingilio. Hii naisikia kwako...!!! Unless una chuki binafsi kama hao wengine. Huyu jamaa ninachompendea, hafanyi matangazo ya kujipamba; na ukienda kwake kuombewa sometimes atakushauri uokoke kisha ujiombee mwenyewe; akimaanisha ni Mungu atakayekuponya au kukusaidia and not Mwakasege. Something which I like toka kwa huyu jamaa.

Mungu amsaidie na azidi kumwezesha kusimama imara katika kazi yake...!! Mungu naye atusaidie wooote, huku JF ili tusimame imara katika neno lake.
 
Think man, think!!
 
Kwa wale waliofauatilia mahubiri yaliyofanyika Biafra kuhusu MZALIWA WA KWANZA watakuwa walibarikiwa sana. Mimi niliguswa sana na mahubiri haya
 
Arusha.

Ni maombi au kitu kingine? Mpeleke mgonjwa wako kwa kakobe au mzee wa hammer pale ubungo chaibora-nyumba ya ufufuo na uzima

umenifurahisha uliposema "mzee wa hummer"...kwasababu anaendesha hummer?...hahaha, ni kweli, akimpeleka pale, atampiga hummer na ugonjwa huo utaondoka bila kupenda. nina uhakika huo.
 
Ahahaaaa! Great thinkers bana. Ndo maana nawakubali sana. Mpeleke mgonjwa wako hospital mkuu.
Huyu mwakasege mwenyewe semina zake hadi ulipie kiingilio. Style mpya tu ameamua kuwa mgombea binafsi afungamani na upande wowpte. Sttategies bana.

jamani kama mtu hujui ukweli ni bora usishuhudie uongo. wapi na lini semina za mwalimu huyu mtu akatakiwa alipe kiingilio.nadhani kuna uchafuzi unapangika. juzi semina yake pale biafra watu walifurika na hakuna alietoa kiingilio. uliza arusha,dodoma na kote alikofanya semina hakuna kiingilio.
 
Kwa wale waliokosa Semina ya pale Biafra, Kanda zinapatikana pale YMCA. Ni somo zuri sana ambalo ni gharama sana kulikosa.Inafaa kusikiliza na kusikiliza na kusikiliza, Mungu ataumba kitu ndani yako na maisha yako yatabadilika hatua kwa hatua.
 
I know this will sound rude but i'm gonna post it anyway, i personally think he is another fraud just like most of these so called "life-changing" preachers, but then we all have our own opinions on such matters.
 
Hapana , huyu ni mtumishi wa Mungu kweli, lakini lazima ukubali kuwa suala la kumbadilisha mtu kama mtu linahitaji nguvu ya ziada ambayo ni Mungu pekee anaweza, Ukipata muda tafuta kanda za Semina iliyopita pale Biafra ni Nzuri.
 
Back
Top Bottom