Christopher Cyrilo: Utata kifo cha Padre Kangwa

Sasa katoliki huwa wanasusa kumzika kwa ibada mwamini aliye jinyonga! Huyu padre itakuaje? Maana mazingira yanataka kutuaminisha eti amejinyonga!
We huna tofauti na hao polisi waliofeli form 4.
 
Ukatoliki huendeshwa kimafia sana. Kupitia Jesuits kama ukionekana kutokukubaliana nao kwenye miongozo yao ya ki-Vatican (satanism) JESUITS wanakumaliza kimafia. Wako kila nchi.


JESUS IS LORD.
 
Halafu waroma waanze kusema Lutheran wanagombana. Si bora kugombana halafu baadae mkaelewana,il-hali hakuna hata sisimizi aliepoteza.
 
Hakuna vifo bila sababu Kuna kitu alikuwa pengine anafanya nyuma ya pazia na watu wakammaliza faster bila kujali Ni Nani huyu
 
Back
Top Bottom