Aliyepaki gari kumuokoa dereva wa lori la mafuta Msamvu aliteketea kwa motoMaisha yana formula...nayo ni mtu unapaswa kuwa mnyenyekevu, mcha Mungu, usiye na majivuno, mpenda haki, unayechukia rushwa na maovu yote, mwenye nidhamu na usiye na chembe ya sifa ya ukatili...
Una uhakika ?Bageni si Msukuma ni mjaruo kwaoni Rorya
Nakumbuka aliriport Alfred Masako....Bro labda kipindi kile cha akina zombe yeye alikuwa na 10 yrs. sasa ana 25+yrs. Sidhani kama atajua kinachoongelewa hapa. Ni sawa wale wa kuchota mafuta Moro, wakati wengine walipo kuwa wanaungua kule Mbeya, pengine wao walikuwa 11 and below, umri huo wala hawakujua kilichotokea, 20yrs from then wana below 31. Hawakumbuki kitu, ndiyo maana lori lilipo anguka walikimbilia eneo na tukio wakiwa na madumu. Matokeo yakawa, tukio lilelile lililotukia miaka 20 iliyopita likajirudia.
Wacha nitumie neno hili "Kunao" watu wawapo madarakani huvitumia vyeo vyao kana kwamba wanaijua kesho yao!!!Huyu ndata Enzi zake obay pale alikuwa mtata Kweli!
Maisha hayana formula kabisa
Ova
Alirudishwa akaunganishwa katika kesi akaahinda akaachiwaKanikumbusha wale wauza madini waliouawa kinyama,yule RPC wa mkoa flani anaitwa Zombe alipona vipi?Maana baada ya tukio eti akapata uhamisho kwenda kuwa RPC kama sikosei Rukwa.
HIVI WEWE MBONA KILA WAKATI UNAWAZA UPAMBAVU? INAMAANA HUWEZI KWENDA HATA CHOONI BILA KUIWAZA CHADEMAAngekua wa chadema mngesema mahakama imemuonea kwa kua ni mwanachama wenu
Waliachiwa wote baadae serikali ikakata rufaa , naye badala ya kujiongeza na kusepa,baada kupita kama miaka 5 akakamatwa tena ndiyo yakamkuta hayo ya kunyongwa,mwenzie Makele yuko sentro anakula tu kipupwe,Zombe sijui kafia wapi,lakini nasikia kachoka anatembelea rimu.Ina maana hii kesi ilikuwa bado kutolewa hukumu tokea Enzi zile...!
Haikuwa Mbeya ni Sinza ila jamaa walouawa walikuwa wenyeji wa Mbeya au IringaKweli muda unakimbia...its now 20 years since lile tukio la mbeya? Mi naona kama jana tu tunacheki ITV...na ndio lilikuwa tukio la kwanza la moto wa tanker nadhani hapa bongo
Nina uhakika kabisa kwao ni Rorya ni mjaruo mkineUna uhakika ?
Soma post ya PILI na TATU.... kama bado hujamjua nenda MSAMVU ukachote mafuta!
Mshitakiwa number moja anaachiwa huru,mshitakiwa number mbili anakula hukumu ya kunyongwa. Bageni sijui alijitetea vipi?Maana yeye si alikuwa anapokea amri kutoka kwa Zombe ?Alirudishwa akaunganishwa katika kesi akaahinda akaachiwa
Hii ishu ilikuwa imuondoe tiba ila bahati nzuri alikuwa likizo ,jumba bovu likamwangukia zombe ila inaonesha hizi zilikiwa dili zao za kupata pesa kwa kuwazurumu watu maishaKanikumbusha wale wauza madini waliouawa kinyama,yule RPC wa mkoa flani anaitwa Zombe alipona vipi?Maana baada ya tukio eti akapata uhamisho kwenda kuwa RPC kama sikosei Rukwa.
Alikuwa na scandal mbaya sana iliyo muondoa Wazo DSM, akiwa OCD, na kumpeleka Manyara.Bado Murotto , analiwa timing tu